Dkt. Kigwangalla: Mo Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri, nimeamua kumpuuza!

Dkt. Kigwangalla: Mo Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri, nimeamua kumpuuza!

Ukishaingia au ukiingizwa kwenye mkondo wa pesa basi pesa zitakuja tu 😅. Tuwasifu labda walioanzia alifu kwa kijiti wakafikia kama yeye kama wapo !
Kuna mchungaji nilishamsikiaga hakuna kitu rahisi kama kuwa tajiri, na hakuna kitu kigumu kama ku umaintain huo utajiri. Ndugu yangu unaachiwa pesa ambayo hujui jasho lake $30M Unaizalisha to 1. Something billion inahitaji kichwa smart sana haijalishi pesa kaachiwa, kiukweli kwangu mimi ni mtu smart sana
 
Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Hamis Kigwangalla amesema Mohamed Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri ndio sababu amemfuta kwenye orodha ya Rafiki zake

Nimeamua kumpuuza na kumuondoa kwenye orodha ya Rafiki zangu, amesema Waziri wa zamani wa Utalii Dr Kigwangalla

Source Star tv Medani za Siasa
Mpuuzi huyu Kigwangala, Mo angekuwa na uwezo mdogo wa kufikiri asingewachukua Hamza Johari na Chandoo kama wajumbe wa bodi wa upande wake pale Simba.

Huyo Chandoo ni mshauri wa Rais SSH masuala ya finance. Johari ndio kinara wa mageuzi ya sekta ya anga nchini.
 
Kuna mchungaji nilishamsikiaga hakuna kitu rahisi kama kuwa tajiri, na hakuna kitu kigumu kama ku umaintain huo utajiri. Ndugu yangu unaachiwa pesa ambayo hujui jasho lake $30M Unaizalisha to 1. Something billion inahitaji kichwa smart sana haijalishi pesa kaachiwa, kiukweli kwangu mimi ni mtu smart sana
Umenena !
 
kingwa ni mbumbumbu,yaani mwenzake anapenetrate soko la Afrika,anaingia kwenye copetition ya mabilionea Afrika na Duniani ,Halafu unasema uwezo wa kufikiri ni mdogo? ni rahisi kupenya kwenye siasa hata kwa mbumbumbu lakini sio BIASHARA,biashara wanapenya magician tu
Yeye analima Mpunga na kufuga Ng'ombe wa maziwa Kijijini kwao Nzega!
 
Back
Top Bottom