Dkt. Kigwangalla: Mo Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri, nimeamua kumpuuza!

Dkt. Kigwangalla: Mo Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri, nimeamua kumpuuza!

Wangapi wanarithishwa Mali na wanazichezea na kurudi kuwa omba omba,. Kuweza kuendeleza Mali ulizorithi kunahitaji usmart wa hatari
Kuna tofauti Kati ya kurithi na kusimamia Biashara ya familia

Kwa mfano Shabiby alirithi mabasi mawili na gereji lakini leo ana mabasi 100 na zaidi na vituo kibao Vya Mafuta

Mo anasimamia mali za Mohamed Enterprise yani humo ndani kuna mtu kibao

Hata zile tukutuku za Mkopo kwa Kigwangalla aliyekataa ni mwanafamilia mwingine kabisa siyo Mo huyu wa Makolo
 
Unakosea sana kutesti kunywa K-Vant wewe Mzee. Saizi yako wewe ni Johnie Walker. 😂 😂 😂 😂

Mo ni Mkurugenzi wa Kampuni ya familia yao na yeye ndiye "Decision Maker" na mwenye "Final Say" kwa sasa. Kama unamsifia Shabiby na Gereji aliyoachiwa, unashindwaje kumsifu Mo kwa biashara aliyoachiwa na kuiendeleza?

Kiukwasi Mo na Shabiby nani ana ukwasi mkubwa??
 
Mpuuzi huyu Kigwangala, Mo angekuwa na uwezo mdogo wa kufikiri asingewachukua Hamza Johari na Chandoo kama wajumbe wa bodi wa upande wake pale Simba.

Huyo Chandoo ni mshauri wa Rais SSH masuala ya finance. Johari ndio kinara wa mageuzi ya sekta ya anga nchini.
Hizo sasa ndio connection za kuingia au kuwemo kwenye mkondo wa mihela plus Ubunge na vitu kama hivyo ndivyo vinakufanya uingie au uingizwe kwenye mkondo wa mihela sio ile ya kitoto 😅 !
 
Unakosea sana kutesti kunywa K-Vant wewe Mzee. Saizi yako wewe ni Johnie Walker. 😂 😂 😂 😂

Mo ni Mkurugenzi wa Kampuni ya familia yao na yeye ndiye "Decision Maker" na mwenye "Final Say" kwa sasa. Kama unamsifia Shabiby na Gereji aliyoachiwa, unashindwaje kumsifu Mo kwa biashara aliyoachiwa na kuiendeleza?

Kiukwasi Mo na Shabiby nani ana ukwasi mkubwa??
Mo hana maamuzi yoyote ya Peke yake

Yule dadake tu akikataa hakuna kinachofanyika achilia mbali hao Wazee wenyewe nyuma ya pazia 😃😃
 
Kuna tofauti Kati ya kurithi na kusimamia Biashara ya familia

Kwa mfano Shabiby alirithi mabasi mawili na gereji lakini leo ana mabasi 100 na zaidi na vituo kibao Vya Mafuta

Mo anasimamia mali za Mohamed Enterprise yani humo ndani kuna mtu kibao

Hata zile tukutuku za Mkopo kwa Kigwangalla aliyekataa ni mwanafamilia mwingine kabisa siyo Mo huyu wa Makolo
Kama familia yenye akili imeamua kumweka yeye kama msimamizi na yeye pia akili anazo.
 
Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Hamis Kigwangalla amesema Mohamed Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri ndio sababu amemfuta kwenye orodha ya Rafiki zake

Nimeamua kumpuuza na kumuondoa kwenye orodha ya Rafiki zangu, amesema Waziri wa zamani wa Utalii Dr Kigwangalla

Source Star tv Medani za Siasa
Hakuna kitu kinaniuma kusikia,.. Mo hana bilion 20' in Mo's voice 🤣🤣🤣🤣
 
Nguvu ya kumbagaza Tajiri Sina kabisa ila no kweli Mo anazingua sometimes.
Hana ile kitu wazungu wanaita emotional intelligence!!
"According to Psychologists, there are four types of Intelligence:

1) Intelligence Quotient (IQ)
2) Emotional Quotient (EQ)
3) Social Quotient (SQ)
4) Adversity Quotient (AQ)

1. Intelligence Quotient (IQ): this is the measure of your level of comprehension. You need IQ to solve maths, memorize things, and recall lessons.

2. Emotional Quotient (EQ): this is the measure of your ability to maintain peace with others, keep to time, be responsible, be honest, respect boundaries, be humble, genuine and considerate.

3. Social Quotient (SQ): this is the measure of your ability to build a network of friends and maintain it over a long period of time.

People that have higher EQ and SQ tend to go further in life than those with a high IQ but low EQ and SQ. Most schools capitalize on improving IQ levels while EQ and SQ are played down.

A man of high IQ can end up being employed by a man of high EQ and SQ even though he has an average IQ.

Your EQ represents your Character, while your SQ represents your Charisma. Give in to habits that will improve these three Qs, especially your EQ and SQ.

Now there is a 4th one, a new paradigm:

4. The Adversity Quotient (AQ): The measure of your ability to go through a rough patch in life, and come out of it without losing your mind.

When faced with troubles, AQ determines who will give up, who will abandon their family, and who will consider suicide.

Parents please expose your children to other areas of life than just Academics. They should adore manual labour (never use work as a form of punishment), Sports and Arts.

Develop their IQ, as well as their EQ, SQ and AQ. They should become multifaceted human beings able to do things independently of their parents.

Finally, do not prepare the road for your children. Prepare your children for the road."

Cc: sorosoke from fb page
 
HK yupo Sahihi....Kitendo cha kusema hadharani alivishwa khanga kinaonyesha kwamba jamaa ni empty set ,yale maelezo ya kuvishwa khanga angeyatoa polisi kwa mpelelezi wake na si public.
Nasikia wazee wasiojulikana walifumua malinda ya MO ,walipomaliza ndio wakamvisha kanga moko
 
Mo hana maamuzi yoyote ya Peke yake

Yule dadake tu akikataa hakuna kinachofanyika achilia mbali hao Wazee wenyewe nyuma ya pazia 😃😃
Acha uzushi wewe.

Mo hadi Forbes wanamtambua miongoni mwa matajiri wa Afrika wewe unasema hana maamuzi!!??

Huo ndiyo kama ule uzushi wenu kwamba Mbowe hana maamuzi ndani ya CHADEMA mpaka Mzee Mtei akubali!!
 
Mo hana maamuzi yoyote ya Peke yake

Yule dadake tu akikataa hakuna kinachofanyika achilia mbali hao Wazee wenyewe nyuma ya pazia 😃😃
Biashara za malori, daladala, maduka ya kina mangi ndo maamuzi yanakuwa ya pekeyako.

Biashara kubwa zote ni board ndo hufanya maamuzi japo nje yanatoka na identity moja.
 
Nasikia wazee wasiojulikana walifumua malinda ya MO ,walipomaliza ndio wakamvisha kanga moko
Imebadili nini kwenye maisha yake na utajiri alio nao, nao wale wapuuzi walifaidika nini??

Halafu nyie nyie ndiyo hushabikia kwa mikelele "Hatutaki ushogaaa"
 
Back
Top Bottom