macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Samahani sana kama nawakwaza watu. Mimi napenda sana usawa lakini nasema hivi: Mhindi si mwenzako wewe mweusi. Anakupenda wakati anaona anafaidi kitu kutoka kwako. Kigwangala hana cheo sasa hivi hivyo Mo hawezi kumnyenyekea. Ni lazima wakosane. Na Mo naye hapo Yanga yupo kimaslahi tu. Hata CCM nako yuko kimaslahi.Kamfuta urafiki 😄 walikuwa wamepinga kuwa marafiki kwani