Dkt. Kigwangalla: Mo Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri, nimeamua kumpuuza!

Una nongwa!
 
Usiwaamini sana Forbes zinapokuja taarifa za Africa. Kuna wakati wanaweza kutoa listi ya wanawake, vijana n.k wenye ushawashi Tanzania au walio chini ya miaka 30 ikawa ni vituko vitupu maana watu wenyewe hawajulikani nje ya Kinondoni na Ilala.
Ni kawaida na ndivyo ulimwengu ulivyo. Kuna watu wanacheza vizuri zaidi kuliko Messi na Ronaldo lakini ndiyo hivyo tena. Jambo rasmi ndiyo linalofanyiwa rejea. Hata hivyo Mo ni miongoni mwa matajiri Afrika!!
 
Mwambieni kuwa japo ni kweli kuwa jamhuri NDIO inaamua Nani awe tajiri namba moja nchini!

Hakuna haja ya hayo kuyasema coz haimpandishi kisiasa yeye ajikite kwenye kutatua changamoto zake jimboni!!
 
Kuna tofauti ya kurithi kibakuli na kurithi mabilioni, viwanda, maelfu ya ekari na godauni zilizokuwa mali ya umma kipindi fulani. 1Γ—3=3 wakati 5Γ—2=10
Unajua maana ya urithi?

Mwenzako anamiliki 75% ya metl

Mbona wewe hata kibakuli ulichorithishwa hujakifikisha popote?
 
Kwani hizo bilioni 20 zinazotajwa tajwa kila mara ni za nini?? Maana sielewi ni kwa nini kila mara Kigwangala husema kuwa Mo hajaingiza hizo hela kwenye Klab ya Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…