Dkt. Kigwangalla: Mo Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri, nimeamua kumpuuza!

Ccm ina vijana wa hovyo sana
 
duhh...tajiri MO!!!sema watu viburi!!!!
 
Masikini WA kibongo roho mbaya
 
Wanaume WA Kibongo tafuteni Hela Acheni wivu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Wivu tu unawasumbua
Hapa ni usimba na uyanga plus uccm
Mnatia Kinyaa
 
Wewe mbona Baba yako hajakuachia mali?
Umemmaliza huyo Chakubanga!Wiki angemfilisi baba yake kisa mbususu.Kuaminiwa na familia kama Mo inahitaji uwe na akili kubwa Kuliko ya Hk,Miaka ya 90's huyo baba ake Mo alikuwa anakimbizwa na Olam kwenye ununuzi wa Korosho,Kampuni ilikuwa ikijivuta,kumbe Mzee Dewji alikuwa anamuandaa kijana na Leo kaifikisha kuwa miongoni mwa Kampuni kubwa kabisa Afrika.Hk kachanganyikiwa.
 
Huyo hk kama anauwezo mkubwa wa kufikiri ni wakati sasa nayeye awe na uwezo wa kiuchumi kama Mo
Kwani MO ametumia ajili ipi kuwa na hUO utajiri,Wakati utajiri wote hUO Ameridhi kutoka kwa wazazi.Ni sawa TU na kusema dereva anayeendesha Gari Ana akili Sana kwa kuwa anajua kuendesha Gari.WAKATI MWENYE AKILI NI YULE ALIYEVUMBUA HILO GARI.Kigwangala yupo sahihi
 
Hivi kisa Cha Kigwangala kuvutana na Mo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…