Mbona maelezo yanaonyesha hata yeye alidharauliwa na MkendaKweli lakini. Kigwangala ana nongwa ya kukosa uwaziri. Ila alichosema kwa MO ni kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona maelezo yanaonyesha hata yeye alidharauliwa na MkendaKweli lakini. Kigwangala ana nongwa ya kukosa uwaziri. Ila alichosema kwa MO ni kweli.
Ccm ina vijana wa hovyo sanaMbunge wa Nzega Vijijini Dr Hamis Kigwangalla amesema Mohamed Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri ndio sababu amemfuta kwenye orodha ya Rafiki zake
Nimeamua kumpuuza na kumuondoa kwenye orodha ya Rafiki zangu, amesema Waziri wa zamani wa Utalii Dr Kigwangalla
=====
Nukuu za Mbunge Dkt. Hamisi Kigwangwala alipozungumza na Chief Odemba
“Mohamed Dewj (MO) ni mfanyabiashara mwenye uwezo mdogo sana wa kufikiri hivyo niliamua kumpuuza na kumuondoa kwenye listi ya marafiki zangu”
“CAG alinionea sana kunitaja kwenye ubadhilifu, aliyepaswa kupewa tuhuma hizo ni Katibu Mkuu Prof. Mkenda siyo Mimi”
“Katibu Mkuu wangu Prof. Mkenda alikuwa na dharau , Mimi nilikuwa Bosi wake lakini alikuwa anakaidi maagizo yangu”
Chanzo: Star tv Medani za Siasa
Kuna mjinga tajiri? 🙄Akili sio Utajiri
Ila Kuna wenye akili maskiniKuna mjinga tajiri? 🙄
duhh...tajiri MO!!!sema watu viburi!!!!Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Hamis Kigwangalla amesema Mohamed Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri ndio sababu amemfuta kwenye orodha ya Rafiki zake
Nimeamua kumpuuza na kumuondoa kwenye orodha ya Rafiki zangu, amesema Waziri wa zamani wa Utalii Dr Kigwangalla
=====
Nukuu za Mbunge Dkt. Hamisi Kigwangwala alipozungumza na Chief Odemba
“Mohamed Dewj (MO) ni mfanyabiashara mwenye uwezo mdogo sana wa kufikiri hivyo niliamua kumpuuza na kumuondoa kwenye listi ya marafiki zangu”
“CAG alinionea sana kunitaja kwenye ubadhilifu, aliyepaswa kupewa tuhuma hizo ni Katibu Mkuu Prof. Mkenda siyo Mimi”
“Katibu Mkuu wangu Prof. Mkenda alikuwa na dharau , Mimi nilikuwa Bosi wake lakini alikuwa anakaidi maagizo yangu”
Chanzo: Star tv Medani za Siasa
Masikini WA kibongo roho mbayaUnakosea sana kutesti kunywa K-Vant wewe Mzee. Saizi yako wewe ni Johnie Walker. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mo ni Mkurugenzi wa Kampuni ya familia yao na yeye ndiye "Decision Maker" na mwenye "Final Say" kwa sasa. Kama unamsifia Shabiby na Gereji aliyoachiwa, unashindwaje kumsifu Mo kwa biashara aliyoachiwa na kuiendeleza?
Kiukwasi Mo na Shabiby nani ana ukwasi mkubwa??
Umemmaliza huyo Chakubanga!Wiki angemfilisi baba yake kisa mbususu.Kuaminiwa na familia kama Mo inahitaji uwe na akili kubwa Kuliko ya Hk,Miaka ya 90's huyo baba ake Mo alikuwa anakimbizwa na Olam kwenye ununuzi wa Korosho,Kampuni ilikuwa ikijivuta,kumbe Mzee Dewji alikuwa anamuandaa kijana na Leo kaifikisha kuwa miongoni mwa Kampuni kubwa kabisa Afrika.Hk kachanganyikiwa.Wewe mbona Baba yako hajakuachia mali?
Kuna mjinga tajiri? [emoji849]
Toa mifano mitatu.Wapo wajinga wengi tu matajiri.
Wee babaako alikurithisha nini?Una uhakika MO ana uwezo wa kiuchumi au ni urithi
Kwani MO ametumia ajili ipi kuwa na hUO utajiri,Wakati utajiri wote hUO Ameridhi kutoka kwa wazazi.Ni sawa TU na kusema dereva anayeendesha Gari Ana akili Sana kwa kuwa anajua kuendesha Gari.WAKATI MWENYE AKILI NI YULE ALIYEVUMBUA HILO GARI.Kigwangala yupo sahihiHuyo hk kama anauwezo mkubwa wa kufikiri ni wakati sasa nayeye awe na uwezo wa kiuchumi kama Mo
Kuna alieskiliza kipindi kizima hadi anafikia hatua ya kutoa maneno hayo ?
NilikuwA nataka matukio ktk mtiririko unao eleweka.Mimi nilisikiliza kipindi kizima, na kweli alisema hivyo hivyo kutokana na maswali aliyokuwa anaulizwa.
Umaskini nilio naoWee babaako alikurithisha nini?
Umeshawahi kufanya hata biashara ya genge ukajua changamoto zake ? Hakuna Zari kwenye biashara ni lazima mtu ufanye kazi haswa kila mtu si angekuwa tajiri ?Watu wengi wanadhani matajiri wote wapo bright sana kichwani ndio maana wamefanikiwa !! Kumbe ni zali tu limewaangukia 😅 !!
Changamoto zake ni nyingi pamoja na Usangoma 😅Umeshawahi kufanya hata biashara ya genge ukajua changamoto zake ? Hakuna Zari kwenye biashara ni lazima mtu ufanye kazi haswa kila mtu si angekuwa tajiri ?
Huyo hk kama anauwezo mkubwa wa kufikiri ni wakati sasa nayeye awe na uwezo wa kiuchumi kama Mo
Hivi kisa Cha Kigwangala kuvutana na Mo?Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Hamis Kigwangalla amesema Mohamed Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri ndio sababu amemfuta kwenye orodha ya Rafiki zake