Dkt. Kigwangalla: Mo Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri, nimeamua kumpuuza!

Mageuzi gani yamefanyika kwenye sekta ya anga nchini ambayo mtu unaweza kujisifia nayo??
Watu wanaoenda bodi ya Simba sio kwamba wana akili sana, ni koneksheni, kujuana na sehemu ya siasa kusakia fursa nyingine zitokanazo na siasa.
 
Naona Kigwa kavurugwa. Kwani Deuji kamfanya nini?
 
Kwa hiyo kwa akili zako unafikiri walio kwenye biashara tu na wamepiga minoti ndio wana uwezo mkubwa wa kufikiri?!
Kama kigwa ana uwezo mkubwa wa kufikili, atoke kwenye siasa aingie kwenye biashara apige minoti awe biliwoneya
 
Mh. Kigwangala ni lazima atambue yupo katika mfungo wa Ramadhani, hali kadhalika MO. Ni vyema akamalizia vyema fungu la mwisho la "Laylatul Kadri" ili apate thawabu zote kwa Mnyaaz wake.
 
Mwizi kakuibia nini wewe!?
 
Usiwaamini sana Forbes zinapokuja taarifa za Africa. Kuna wakati wanaweza kutoa listi ya wanawake, vijana n.k wenye ushawashi Tanzania au walio chini ya miaka 30 ikawa ni vituko vitupu maana watu wenyewe hawajulikani nje ya Kinondoni na Ilala.
Acha uzushi wewe.

Mo hadi Forbes wanamtambua miongoni mwa matajiri wa Afrika wewe unasema hana maamuzi!!??

Huo ndiyo kama ule uzushi wenu kwamba Mbowe hana maamuzi ndani ya CHADEMA mpaka Mzee Mtei akubali!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…