Amun Ra
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,713
- 7,218
10%Kuna bandiko nimesema uwekezaji wa Mo Simba una utata. Lakini swali la kujiuliza ni kwa nini basi viongozi wengine wa Simba wapo Kimya!!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
10%Kuna bandiko nimesema uwekezaji wa Mo Simba una utata. Lakini swali la kujiuliza ni kwa nini basi viongozi wengine wa Simba wapo Kimya!!??
Nikuulize wewe ulileta habari za urithi.Kwani baba ya nani kafa?
Unataka ushahidi gani wakati mwenye kampuni Gullam yupo na ukitaka kufanya biashara kubwa nao lazima umuone. Nenda ukafanye biashara nao halafu utakuja na jibu.Ushahidi tasavali
Hapana, wewe hata hujui hiyo circle unasikia story za mitaani na PR ya Mo.Wewe ndo hujaelewa.
We mbwiga, the Rockefellers au Rothschilds hawarithishani mali? Vipi familia ya British settler in Kenya, Lord Delamere? Walaumu wazazi wako kwa kutokukuachia chochote cha maana.Hadi leo zile mali ni za baba yake.
Na yeye atafute timu aipe udhamini tuone🤓🤓Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Hamis Kigwangalla amesema Mohamed Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri ndio sababu amemfuta kwenye orodha ya Rafiki zake
Nimeamua kumpuuza na kumuondoa kwenye orodha ya Rafiki zangu, amesema Waziri wa zamani wa Utalii Dr Kigwangalla
View attachment 2589854
Chanzo: Star tv Medani za Siasa
Mbwiga Mama yako, wapi nimesema kuna tatizo Mo kurithi mali? Wazazi wangu na uzee wao wana mali kuliko kizazi chenu chote.We mbwiga, the Rockefellers au Rothschilds hawarithishani mali? Vipi familia ya British settler in Kenya, Lord Delamere? Walaumu wazazi wako kwa kutokukuachia chochote cha maana.
kwambo mo ni mfanyabiashara mdogo?Kweli lakini. Kigwangala ana nongwa ya kukosa uwaziri. Ila alichosema kwa MO ni kweli.
Kuna njia nne tu za kuwa tajir wa level hizo.
1. Kurith
2.Kuoa tajir
3.Bidii ya kaz na kipaji
4.Kuiba.
Sasa yeye yupo ya 1... Kuna tatizo?
Tangu dunia kuumbwa kuna riport mbaya tanzania kama awamu ya kwanza ya Marehemu.au mmesahau hadi alifukuza cagIla ukiisoma vzr Ile report ya CAG, unaona kabisa Marehemu
ulitaka arithi jina la ukoo kama wew?Una uhakika MO ana uwezo wa kiuchumi au ni urithi
Kama huoni ni tatizo kwanini useme mali yake yenyewe ya urithi? Au unafikiri una interact na wajinga ambayo hawawezi kuelewa uelekeo wa hoja yako? Na ujinga mwingine ulioungeza hapa ni huo wa kuweka wazazi wako wana mali kuliko kizazi chetu chote kana kwamba unanifahamu au unawafahamu Ndugu zangu. Pumbavu kweli wewe!Mbwiga Mama yako, wapi nimesema kuna tatizo Mo kurithi mali? Wazazi wangu na uzee wao wana mali kuliko kizazi chenu chote.
Wewe mpumbavu mimi najua Gulam na nimefanya naye biashara na kwenye post yangu nimesema mtu wa mwisho anayefanya maamuzi Mohammed Ent. ni Gulam kama unataka kupiga kelele hapa endelea kupayuka na narudia wewe ni maskini tu.Kama huoni ni tatizo kwanini useme mali yake yenyewe ya urithi? Au unafikiri una interact na wajinga ambayo hawawezi kuelewa uelekeo wa hoja yako? Na ujinga mwingine ulioungeza hapa ni huo wa kuweka wazazi wako wana mali kuliko kizazi chetu chote kana kwamba unanifahamu au unawafahamu Ndugu zangu. Pumbavu kweli wewe!
Sawa, nimekuelewa Aunt WILE.Wewe mpumbavu mimi najua Gullam na nimefanya naye biashara na kwenye post yangu nimesema mtu wa mwisho anayefanya maamuzi Mohammed Ent. ni Gullam kama unataka kupiga kelele hapa endelea kupayuka na narudia wewe ni maskini tu.
Watu kama nyie nawajua umekaa mahali unasubiri mshahara na usipokuwa makini the best you can get from this life ni nyumba na magari.Sawa, nimeuelewa Aunt WILE