Dkt. Kigwangalla: Mo Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri, nimeamua kumpuuza!

Dkt. Kigwangalla: Mo Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri, nimeamua kumpuuza!

Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Hamis Kigwangalla amesema Mohamed Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri ndio sababu amemfuta kwenye orodha ya Rafiki zake

Nimeamua kumpuuza na kumuondoa kwenye orodha ya Rafiki zangu, amesema Waziri wa zamani wa Utalii Dr Kigwangalla

View attachment 2589854

Chanzo: Star tv Medani za Siasa
Na yeye atafute timu aipe udhamini tuone🤓🤓
 
We mbwiga, the Rockefellers au Rothschilds hawarithishani mali? Vipi familia ya British settler in Kenya, Lord Delamere? Walaumu wazazi wako kwa kutokukuachia chochote cha maana.
Mbwiga Mama yako, wapi nimesema kuna tatizo Mo kurithi mali? Wazazi wangu na uzee wao wana mali kuliko kizazi chenu chote.
 
Matajiri wa Tz wanalipa wafanyakazi laki nne kwa Mwezi Tena Mtu mwenye degree huku vibarua wakiondoka na elfu tatu, huku ukija kwa Ccm bit wizi mtupu
So kingwangwala ni ubabaishaji mwizi huku mo na yeye ni tajiri uchwara.
 
Nukuu za Mbunge Dkt. Hamisi Kigwangwala alipozungumza na Chief Odemba

“Mohamed Dewj (MO) ni mfanyabiashara mwenye uwezo mdogo sana wa kufikiri hivyo niliamua kumpuuza na kumuondoa kwenye listi ya marafiki zangu”

“CAG alinionea sana kunitaja kwenye ubadhilifu, aliyepaswa kupewa tuhuma hizo ni Katibu Mkuu Prof. Mkenda siyo Mimi”

“Katibu Mkuu wangu Prof. Mkenda alikuwa na dharau , Mimi nilikuwa Bosi wake lakini alikuwa anakaidi maagizo yangu”

Chanzo: chiefodembatz
 
Mbwiga Mama yako, wapi nimesema kuna tatizo Mo kurithi mali? Wazazi wangu na uzee wao wana mali kuliko kizazi chenu chote.
Kama huoni ni tatizo kwanini useme mali yake yenyewe ya urithi? Au unafikiri una interact na wajinga ambayo hawawezi kuelewa uelekeo wa hoja yako? Na ujinga mwingine ulioungeza hapa ni huo wa kuweka wazazi wako wana mali kuliko kizazi chetu chote kana kwamba unanifahamu au unawafahamu Ndugu zangu. Pumbavu kweli wewe!
 
Wewe mpumbavu mimi najua Gulam na nimefanya naye biashara na kwenye post yangu nimesema mtu wa mwisho anayefanya maamuzi Mohammed Ent. ni Gulam kama unataka kupiga kelele hapa endelea kupayuka na narudia wewe ni maskini tu.
 
Back
Top Bottom