Dkt. Kigwangalla: Mo Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri, nimeamua kumpuuza!

Dkt. Kigwangalla: Mo Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri, nimeamua kumpuuza!

Mageuzi gani yamefanyika kwenye sekta ya anga nchini ambayo mtu unaweza kujisifia nayo??
Watu wanaoenda bodi ya Simba sio kwamba wana akili sana, ni koneksheni, kujuana na sehemu ya siasa kusakia fursa nyingine zitokanazo na siasa.
Hujui ulisemalo. JPM alipewa tuzo ya ICAO kwa aina ya mageuzi mazima ya sekta ya anga yaliyopandisha asilimia za ufanisi wa anga mpaka tukafika asilimia 65 wakati miaka ya nyuma tulikuwa tukiishia asilimia 35 tu.

Kuna mengi ya kitaalam yanafanyika sekta ya anga kwa sasa, huwezi kuja kuanzisha shirika la ndege bila kufikia viwango vilivyopo vya kimataifa.

Ukitazama kwa juu juu tu utaishia kuongea kwa kuponda, ukitazama kwa kina utaelewa Hamza Johari amefanya nini.

Chandoo ni kichwa cha maana sana kwa sasa katika sekta ya uchumi.
 
Matajiri wa Tz wanalipa wafanyakazi laki nne kwa Mwezi Tena Mtu mwenye degree huku vibarua wakiondoka na elfu tatu, huku ukija kwa Ccm bit wizi mtupu
So kingwangwala ni ubabaishaji mwizi huku mo na yeye ni tajiri uchwara.
Kuwa wewe tajiri ulipe watu mamilioni
 
Kuna watu wanazaliwa na akili tu, sio kwamba walichagua kuwa nazo au kutokuwa nazo. Pia kuna watu wanazaliwa bila akili, wengine huwa wanajitahidi kuzipata, wengine wanafanikiwa, wengine hawafanikiwi sana.
Akili ni kipaji na pia zao la jitihada.
Sa km akili sio utajiri kuna haja gani ya kua na akili au izo akili zako znakusaidia nn km zimeshidwa kukupa pesa aunkukupa mbinu za pesa
 
Matajiri wa Tz wanalipa wafanyakazi laki nne kwa Mwezi Tena Mtu mwenye degree huku vibarua wakiondoka na elfu tatu, huku ukija kwa Ccm bit wizi mtupu
So kingwangwala ni ubabaishaji mwizi huku mo na yeye ni tajiri uchwara.
shida zako zisikufanye utukane watu,tafuta vyako,piga kazi kwa bidii,acha kutafuta visingizio
 
Huyo hk kama anauwezo mkubwa wa kufikiri ni wakati sasa nayeye awe na uwezo wa kiuchumi kama Mo
siyo kweli ukiwa na uwezo mkubwa wa kufikiri ndo unakuwa tajiri hayo ni mawazo hasi kabisa.ingekuwa hivyo basi wasomi wengi wenye uwezo wa kufikiri wangekuwa matajiri lkn ukiangalia matajiri wengi si wasomi pia wasomi wengi siyo risk taker.
 
Back
Top Bottom