Dkt. Kigwangalla: Mo Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri, nimeamua kumpuuza!

Dkt. Kigwangalla: Mo Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri, nimeamua kumpuuza!

Yeye mwenyewe kingwa muulizeni
Ile kampuni yao ya MSK waliyokuwa
Wanajishugulisha na pamba iliishia wapi,maana walikula kona +na sijui kama mkopo waliulipa [emoji1]
Kingwa biashara hajui period

Ova
Nilimuona mpuuzi wa mwisho siku ile alipomdhalilisha yule mzee wa watu kwa kumrusha kichurachura mbele ya kamera za runinga. Bonge la mshamba.
 
Naona watu mnamwaga mapovuu kwa Mo lakini ukweli utabaki huyo mpuuzi hamis hana uwezo wa kumfikia Mo kiuchumi hatatheluthi

Mwageni mapovuu lkn huo ndio ukweli.
 
Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Hamis Kigwangalla amesema Mohamed Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri ndio sababu amemfuta kwenye orodha ya Rafiki zake

Nimeamua kumpuuza na kumuondoa kwenye orodha ya Rafiki zangu, amesema Waziri wa zamani wa Utalii Dr Kigwangalla

=====
Nukuu za Mbunge Dkt. Hamisi Kigwangwala alipozungumza na Chief Odemba

“Mohamed Dewj (MO) ni mfanyabiashara mwenye uwezo mdogo sana wa kufikiri hivyo niliamua kumpuuza na kumuondoa kwenye listi ya marafiki zangu”

“CAG alinionea sana kunitaja kwenye ubadhilifu, aliyepaswa kupewa tuhuma hizo ni Katibu Mkuu Prof. Mkenda siyo Mimi”

“Katibu Mkuu wangu Prof. Mkenda alikuwa na dharau , Mimi nilikuwa Bosi wake lakini alikuwa anakaidi maagizo yangu”

Chanzo: Star tv Medani za Siasa
Mbona hata huyu kigwangala aye Ana uwezo mdogo tu?
 
Nimefuatilia kipindi chote.Nimependa alivyoulizwa maswali kwa uwazi wa kutosha na yeye kajitahidi kujibu kwa uwazi kabisa.
 
HK makes a good point here. MO stooped too low kwa kuweka mambo yao binafsi bayana. Bil 20 Mo kashatoa?
 
Kwani MO ametumia ajili ipi kuwa na hUO utajiri,Wakati utajiri wote hUO Ameridhi kutoka kwa wazazi.Ni sawa TU na kusema dereva anayeendesha Gari Ana akili Sana kwa kuwa anajua kuendesha Gari.WAKATI MWENYE AKILI NI YULE ALIYEVUMBUA HILO GARI.Kigwangala yupo sahihi
Urithi hutolewa mtu akifa, Wazazi wa MO wapo.
Wewe mlaumu aliyekuzaa
 
Kwani MO ametumia ajili ipi kuwa na hUO utajiri,Wakati utajiri wote hUO Ameridhi kutoka kwa wazazi.Ni sawa TU na kusema dereva anayeendesha Gari Ana akili Sana kwa kuwa anajua kuendesha Gari.WAKATI MWENYE AKILI NI YULE ALIYEVUMBUA HILO GARI.Kigwangala yupo sahihi
Hizi ni akili za maskini ambao mara zote huwa tunajifariji kwa kujaribu kushusha hadhi ya matajiri ili tuonekane kama vile tunalingana tu. Utasikia mwingine anasema 'Akifa ataziacha", sawa, lakini hajafa bado, na wewe hujafa na hauna 😁😁😁
 
Kwani tatizo....hata baresa utajiri wao wanauweka kifamilia,GSM na wengineo
Sasa nyie mkiachiwa urithi....urithi mnaupelekaga wapi mzee
Au unaishiaga kidimbwi na wavuv kamp [emoji1]

Ova
Ngozi Nyeusi hadi leo hawana kampuni yenye miaka 40
 
Back
Top Bottom