Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilimuona mpuuzi wa mwisho siku ile alipomdhalilisha yule mzee wa watu kwa kumrusha kichurachura mbele ya kamera za runinga. Bonge la mshamba.Yeye mwenyewe kingwa muulizeni
Ile kampuni yao ya MSK waliyokuwa
Wanajishugulisha na pamba iliishia wapi,maana walikula kona +na sijui kama mkopo waliulipa [emoji1]
Kingwa biashara hajui period
Ova
MO hana uwezo wa kiuchumi bali ni msimamizi tu wa biashara ya familia nzima ya Mzee DewjiHuyo hk kama anauwezo mkubwa wa kufikiri ni wakati sasa nayeye awe na uwezo wa kiuchumi kama Mo
Utajiri wa Mo ni wa familia bro.Wenye uwezo mdogo kufikir wengi wao wanalipwa na kutegemea kuish kwa kodi za walalahoi.
Mo is a billionair and anyone worth bilions is super smart..
Kigwa aendelee tu kufuga ngombe
Naww kuwa msimamizi wa biashara kama za MoMO hana uwezo wa kiuchumi bali ni msimamizi tu wa biashara ya familia nzima ya Mzee Dewji
Mbona hata huyu kigwangala aye Ana uwezo mdogo tu?Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Hamis Kigwangalla amesema Mohamed Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri ndio sababu amemfuta kwenye orodha ya Rafiki zake
Nimeamua kumpuuza na kumuondoa kwenye orodha ya Rafiki zangu, amesema Waziri wa zamani wa Utalii Dr Kigwangalla
=====
Nukuu za Mbunge Dkt. Hamisi Kigwangwala alipozungumza na Chief Odemba
“Mohamed Dewj (MO) ni mfanyabiashara mwenye uwezo mdogo sana wa kufikiri hivyo niliamua kumpuuza na kumuondoa kwenye listi ya marafiki zangu”
“CAG alinionea sana kunitaja kwenye ubadhilifu, aliyepaswa kupewa tuhuma hizo ni Katibu Mkuu Prof. Mkenda siyo Mimi”
“Katibu Mkuu wangu Prof. Mkenda alikuwa na dharau , Mimi nilikuwa Bosi wake lakini alikuwa anakaidi maagizo yangu”
Chanzo: Star tv Medani za Siasa
Urithi hutolewa mtu akifa, Wazazi wa MO wapo.Kwani MO ametumia ajili ipi kuwa na hUO utajiri,Wakati utajiri wote hUO Ameridhi kutoka kwa wazazi.Ni sawa TU na kusema dereva anayeendesha Gari Ana akili Sana kwa kuwa anajua kuendesha Gari.WAKATI MWENYE AKILI NI YULE ALIYEVUMBUA HILO GARI.Kigwangala yupo sahihi
Mbona wewe baba yako hana hata duka la mangi alilokuachia usimamie?MO hana uwezo wa kiuchumi bali ni msimamizi tu wa biashara ya familia nzima ya Mzee Dewji
Hizi ni akili za maskini ambao mara zote huwa tunajifariji kwa kujaribu kushusha hadhi ya matajiri ili tuonekane kama vile tunalingana tu. Utasikia mwingine anasema 'Akifa ataziacha", sawa, lakini hajafa bado, na wewe hujafa na hauna 😁😁😁Kwani MO ametumia ajili ipi kuwa na hUO utajiri,Wakati utajiri wote hUO Ameridhi kutoka kwa wazazi.Ni sawa TU na kusema dereva anayeendesha Gari Ana akili Sana kwa kuwa anajua kuendesha Gari.WAKATI MWENYE AKILI NI YULE ALIYEVUMBUA HILO GARI.Kigwangala yupo sahihi
lakini hawasimangi walioachiwa mali na baba zao, na tofauti yenu ndio ipo hapo 😁😁😁Mbona wewe baba yako hana hata duka la mangi alilokuachia usimamie?
Awamu ile kila waziri alitafuta kiki kumfanya atrendNilimuona mpuuzi wa mwisho siku ile alipomdhalilisha yule mzee wa watu kwa kumrusha kichurachura mbele ya kamera za runinga. Bonge la mshamba.
Kwani tatizo....hata baresa utajiri wao wanauweka kifamilia,GSM na wengineoUtajiri wa Mo ni wa familia bro.
Ngozi Nyeusi hadi leo hawana kampuni yenye miaka 40Kwani tatizo....hata baresa utajiri wao wanauweka kifamilia,GSM na wengineo
Sasa nyie mkiachiwa urithi....urithi mnaupelekaga wapi mzee
Au unaishiaga kidimbwi na wavuv kamp [emoji1]
Ova
MarehemuIla ukiisoma vzr Ile report ya CAG, unaona kabisa Marehemu
Uyomwezako siyomugwana.hamekuwanza ira musame tuhana akiriWee shoga bado hutulizi makalio, muda wako ukifika usali, nyoko kabisa
Kwerikabisa.nikwawa.tu wachaje sipesho.wenyeakiriHuwezi kumiliki hela kama huna akili. Wote tunaweza kubahatika kupata bingo sehemu ila kuendelea kuzimiliki kwa miaka mingi ni kwa watu wachache. Mo ana akili.