Dkt. Kikwete: Ninaandika kitabu cha historia yangu ambacho ninaelezea mambo mengi hata yale msiyoyajua!

Tangu tusikie juu ya kitabu hiki ni miaka kadhaa imepita. Bado tu hakitoki? Uandishi ni uwezo na karama. Kama huna ni busara kukaa kimya. Kikitoka tutakiona.
Kwani ni kitabu cha hadithi?!
 
Yasije yakatokea ya Benja [emoji849][emoji849]
 
Kikitoka tu hamalizi mwaka anatuaga! Afuatilie wenzake waliotoa vitabu vya maisha yao akianza na Mengi aje kwa Che Nkapa!
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]......huu msiba tarajiwa unanitia simanzi sana
 
Hakuna jipya ajikalie tu kimya kwenye hekalu lake, watanzania kwa sasa wanasoma namba hawana huo muda wa kusikiliza simulizi...
 
Kifo kipo karibu, maan wote waliofanya hivyo hatunao tena.
So [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Mkumbushe kuhusu mkapa na mengi.
Walipomaliza vitabu walienda wapi
 
Ukiandika tu kitabu ujue umekaribia kufariki
 
Kama namwona Jiwe anavyoanza kuhaha kujua nini kinaandikwa
 
Mie nimewaza Mkapa kamaliza kuandika akazindua tu, then in a year or two he was no more...

Kwahiyo aogope kuandika kwavile atakufa? Kufa ni lazima aandike au asiandike!!
Kama anaandika asiandike ili mradi ni fashion ya siku hizi ya kuandika; bali ajitahidi awe mkweli tu atuambie ushiriki wake na Rugemalila wa kuileta kampuni ya uzalishaji umeme Tanzania, mpaka ikawa chanzo cha kashfa na ufisadi mkubwa nchini.
 
Lazima mtukufu akihariri kabla hakijatoka kwenda kwa Watanzamaji
 
ATWAMBIE PIA KWENYE HICHO KITABU HAYA YAFUATAYO:
1. KATIBA YA WARIOBA ILIKWAMISHWA NA NINI?
2. KWA NINI YEYE KAMA M/KITI WALIAMUA KUIUA KAYA YETU KWA KUTULETEA HUYU DUBU NA DUDU MTU ALIYEPO?
3. KWA NINI WAKATI WAKE UPINZANI ULISHAMIRI SANA NA HATA KUKARIBISHANA MAGOGONI KUJADILI MUSTAKABALI WA KAYA YETU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…