Dkt. Kikwete: Ninaandika kitabu cha historia yangu ambacho ninaelezea mambo mengi hata yale msiyoyajua!

Mkuu Bulesi Asiache kuandika. Hili ni suala fikirishi tu. Halina chochote zaidi
 
Ile sheria ya Urais wa milele ingeanza kutumika kwa JK.
Na si kutuletea uhuni huu wa akina Msukuma mbunge wa Geita
 
Bado tunaamini kwamba Mzee wetu ataeleza kuhusu majina ya mfukoni ya 2015
 
Ile sheria ya Urais wa milele ingeanza kutumika kwa JK.
Na si kutuletea uhuni huu wa akina Msukuma mbunge wa Geita
Kipindi kile watu wangeandamana sana kupinga. Sipati picha wapinzani namna ambavyo wangetoa matamko.
 
Jidanganye ww na watt wako huyo wala hakuwa chaguo lake ,aliyemuweka huyo kasharest in peace
 
Asisahau kutuambia alikuwa anawahonga nini wapinzani kipindi kile alivyokuwa anawaita Ikulu.

Alikuwa anamuhonga sana Zitto safari za kiserikali ili apate per diem!!!

Alihusika pia na utekwaji wa Dr. Ulimboka na mauaji ya mwandishi wa habari marehemu Mwangosi!!!

Memoirs mara nyingi hutumika kama njia ya kuomba msamaha kwa yale maovu viongozi wanayokuwa wamewakosea watawaliwa wakati wa utawala wao, atumie njia hiyo kuwaomba msamaha aliowakwaza ili huko aendako uhai wake utakapokoma mambo yake yake mepesi!!!
 
Jidanganye ww na watt wako huyo wala hakuwa chaguo lake ,aliyemuweka huyo kasharest in peace
Yote yanaweza kuwa unavyoona ila alitumika kwa nafasi kutimilisha mipango ya Mungu kwenye kupata rais wa5 wa taifa letu
 
Mbona umemtaja Zitto tu na wale wengine waliyokuwa anawaita Ikulu nao alikuwa anawahonga nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…