Ongelea bongo mkuu
Kwani Mzee Mwinyi wa wapi; sio Bongo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongelea bongo mkuu
Ameandika kitabu kipi?Kwani Mzee Mwinyi wa wapi; sio Bongo?
Ameandika kitabu kipi?
Inaweza kuwa style mpya ya kuaga.
Mkapa smart boy alijitia ujinga kwamba eti kadanganywa kuhusu scandal ya EPA.Ni njia ya wao kujisafisha na kuomba Huruma ya maovo.
Mkapa smart boy alijitia ujinga kwamba eti kadanganywa kuhusu scandal ya EPA.
Nikasema serikali ya Mkapa na ukali wake wote ule, na ufuatiliaji wake wote, hakuwa wa kudanganywa kitoto hivyo.
Alikuwa anajua alichofanya, ila kwenye kitabu kaona bora kujifanya alikuwa mjinga.
Kile kitabu kilikuwa ni utani, kwa muda ambao Mkapa kakaa kwenye uongozi, na ukitilia maanani kwamba yeye ni muandishi, alitakiwa aandike volume ya maana. Alitakiwa atueleze tangu mziziz wa ugomvi wa Kambona na Nyerere ulikuwa nini (yeye Mkapa ndiye aliyekuwa anampelekea maneno yote Nyerere) mpaka kujibu swali aliloulizwa Kikwete na Bob Geldof, kwa nini Tanzania ni masikini. Kikwete alishindwa kujibu swali hili akasema hajui kwa nini. Labda kwenye kitabu atasahihisha jibu hili.That is true. Nilikisoma kitabu chote. Kitu pekeee kilichonishangaza; anaposema He is taking full responsibility kwa makosa hayo. Yaani anawajibika vipi sasa!
Halafu anasema Dili la EPA hajapata hata thumuni. Mzee katulisha Chai sana.
Haiwezekani yeye kama Head of the state watu wapige pesa kiasi hicho zilizolipwa kwa different Account Kwenye nchi mbili tofauti of the same person huku Rais you are not aware of the shit.
The worst part ni pale aliposema kifo Cha DG wa Usalama wa Taifa, Uncle Imran Kombe, kuwa ni nonesense kuwaza Serikali yake ilihusika. Na hajaendelea tena to comment anything regarding the issue.
Yaani kumchanganya DG wa Usalama wa Taifa na Muhalifu!? It is totally impractical maana DG wa Usalama nae analindwa hata kama amestaafu. Pia na wakati tukio linatokea, baada ya hao polisi kupiga tairi ya Gari risasi , Uncle alisimamisha Gari na akatoka huku hands up kuonesha kuwa yeye sio muhalifu, na alikuwa na Familia.
kwa yote hayo still polisi walifyatua risasi. I thought hii ishu angeielezea kwa kina but he did not want to discuss the issue. Hilo kwake ni Doa . Mtumishi Mkubwa kama Uncle Imran kuuliwa kwa style hiyo.
The likelihood that it was an inside job is really high.
Kwa kweli hivi vitabu vyao ni kujisafisha uovu wao, huku wakisema they are taking full responsibility. Silly
That is true. Nilikisoma kitabu chote. Kitu pekeee kilichonishangaza; anaposema He is taking full responsibility kwa makosa hayo. Yaani anawajibika vipi sasa!
Halafu anasema Dili la EPA hajapata hata thumuni. Mzee katulisha Chai sana.
Haiwezekani yeye kama Head of the state watu wapige pesa kiasi hicho zilizolipwa kwa different Account Kwenye nchi mbili tofauti of the same person huku Rais you are not aware of the shit.
The worst part ni pale aliposema kifo Cha DG wa Usalama wa Taifa, Uncle Imran Kombe, kuwa ni nonesense kuwaza Serikali yake ilihusika. Na hajaendelea tena to comment anything regarding the issue.
Yaani kumchanganya DG wa Usalama wa Taifa na Muhalifu!? It is totally impractical maana DG wa Usalama nae analindwa hata kama amestaafu. Pia na wakati tukio linatokea, baada ya hao polisi kupiga tairi ya Gari risasi , Uncle alisimamisha Gari na akatoka huku hands up kuonesha kuwa yeye sio muhalifu, na alikuwa na Familia.
kwa yote hayo still polisi walifyatua risasi. I thought hii ishu angeielezea kwa kina but he did not want to discuss the issue. Hilo kwake ni Doa . Mtumishi Mkubwa kama Uncle Imran kuuliwa kwa style hiyo.
The likelihood that it was an inside job is really high.
Kwa kweli hivi vitabu vyao ni kujisafisha uovu wao, huku wakisema they are taking full responsibility. Silly
Kile kitabu kilikuwa ni utani, kwa muda ambao Mkapa kakaa kwenye uongozi, na ukitilia maanani kwamba yeye ni muandishi, alitakiwa aandike volume ya maana. Alitakiwa atueleze tangu mziziz wa ugomvi wa Kambona na Nyerere ulikuwa nini (yeye Mkapa ndiye aliyekuwa anampelekea maneno yote Nyerere) mpaka kujibu swali aliloulizwa Kikwete na Bob Geldof, kwa nini Tanzania ni masikini. Kikwete alishindwa kujibu swali hili akasema hajui kwa nini. Labda kwenye kitabu atasahihisha jibu hili.
Kitabu kizima cha Mkapa hata watoto wake kashindwa kuwataja wote, kawataja Nico na Stephan tu. Peter kambagua.
Wakati kwenye parties zake alikuwa anamsifia Peter kuliko hata hao biological sons kina Nico na Stephan.
That tells you a lot about the man.
..Nasubiri kitabu cha Jpm.
..sijui ataandika nini kuhusu shambulizi dhidi ya Tundu Lissu.
..Nani aliondoa walinzi wa serikali ili kuwapisha magaidi waliotumwa kumuua Lissu.
..kwanini serikali haikutoa ndege kumuwahisha Nairobi na kuwaacha Cdm na familia wakihangaika kumtafutia usafiri.
..Kwanini Jpm hakuingilia kati suala la Tundu Lissu kuhudumiwa na bunge / serikali wakati akitibiwa Nairobi na Ubelgiji.
..Kwanini Jpm hakuingilia kati suala la uchunguzi wa tukio hilo na kuruhusu wachunguzi toka nje waje kusaidia kuwafichua wahusika.
Basi tu tunamuhifadhi Mzee wetu katangulia.I Agree. Kitabu kina jibu hoja kisiasa siasa tu .
Mkopo wake wa dola laki 5 kama sikosei aliochukua NBC huku akitumia Address ya State House.
kufukuzwa kazi kwa wafanyakazi waliovujisha taarifa kwa waandishi Juu ya Mkopo huo; Anna ndio alikuwa behind the issue.
Pia ametumia muda mwingi sana kumsifu Mwalimu huku akisisitiza Mwalim was not an interventionist, hili nalo linanipa wasiwasi sana.
Kwa Sababu Ben alianza kwenda kinyume na misingi ya Ujamaa which was okay, but Mwalim was somehow unhappy. Ben alidiriki Kwenda kwa Mwalimu huku kalewa ikiwa ameitwa kule CLINIC MSASANI
Sometimes anapigiwa simu na mwalimu but anapokea msaidizi wake na mwalimu anajibiwa Ben kapumzika. The question is kwanini amejaribu kuonesha kuwa alikuwa na uhusiano mzuri na Mwalimu all the time; ukweli upo wazi kuwa Mwisho mwisho Mwalimu was not okay na Ben. Surprisingly the whole book ni Mwalim kupewa kila aina ya sifa. Mwalim this Mwalim that.
Mimi naona hawa Marais wawe Serious. Ni kweli kuwa Rais wa nchi is hard, but atleast wawatendee haki watanzania kwa kutoa taarifa za kweli na mambo ambayo waliyafanya nyuma ya pazia for the interest of the country.
Mbona sahv wachina wamerudi tena hukoMwambieni asisahau kuandika huko na jinsi alivyoingia mkataba na wachina kuhusu bandari ya bagamoyo alitaka kutuingiza msitu wa mwabepande
Peter ni mwanae wa kumzaa?Kile kitabu kilikuwa ni utani, kwa muda ambao Mkapa kakaa kwenye uongozi, na ukitilia maanani kwamba yeye ni muandishi, alitakiwa aandike volume ya maana. Alitakiwa atueleze tangu mziziz wa ugomvi wa Kambona na Nyerere ulikuwa nini (yeye Mkapa ndiye aliyekuwa anampelekea maneno yote Nyerere) mpaka kujibu swali aliloulizwa Kikwete na Bob Geldof, kwa nini Tanzania ni masikini. Kikwete alishindwa kujibu swali hili akasema hajui kwa nini. Labda kwenye kitabu atasahihisha jibu hili.
Kitabu kizima cha Mkapa hata watoto wake kashindwa kuwataja wote, kawataja Nico na Stephan tu. Peter kambagua.
Wakati kwenye parties zake alikuwa anamsifia Peter kuliko hata hao biological sons kina Nico na Stephan.
That tells you a lot about the man.
Atubu na atupe athari za Mtandao wake katika kuidhoofisha CCM.
Rais mstaafu wa awamu ya 4, Mh. Mrisho Jakaya Kikwete amesema kwa sasa anaandika kitabu cha historia ya maisha yake ambacho kitaelezea mambo aliyoshiriki, aliyoyashuhudia na aliyoyaona katika maisha yake binafsi na yale ya siasa.
Kikwete amesema hayo wakati wa mahojiano na mwandishi Salama Jabir katika kipindi cha Salama leo.
Chanzo: Eatv.
Maendeleo hayana vyama!
Hata yeye kasema ameona na kusikia mengi toka kipindi cha Nyerere ila ataeleza yale ambayo hayana usiri mkubwa maana yapo mengine huwezi ukayaeleza.Anaandika yale anayotaka tuyajue lakini haandiki historia ya ukweli wa maisha yake, hiyo nakataa.
Tujitahidi kuelewa kiswahili kiongozi, mi nimeandika kila anayetoa kitabu hakai muda mrefu( Mengi na Mkapa), huyo mzee ametoa kitabu gani sasa?Soma vizuri na kuelewa!! Sijaandika kuwa Al Haj Mwinyi kaandika , nimeandika kuwa hana kitabu na tunae muda merfu tu!!!