Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Sawa mkuu kwa maana sisi hatuishi huko mitaani hivyo hatujui hali halisiFUNDI HAJAWAHI KUKOSA KAZI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu kwa maana sisi hatuishi huko mitaani hivyo hatujui hali halisiFUNDI HAJAWAHI KUKOSA KAZI.
Sawa mkuu kwa maana sisi hatuishi huko mitaani hivyo hatujui hali halisi
Ni kweli. Ni ombiSio lazima mkuu.
Hapo kabla hakuwahi, safari ndiyo amekuwa kwa mara ya kwanzaUnasemaje hajawahi kuwa mwanasiasa wakati nafasi aliyoishika ni ya kisiasa?
Mi sipingani na kuhusu kujiajiriMimi naona Mzee Kimei yupo sahihi.
Kule darasani wafundishwe pia ufundi.
Mtoto akitoka form 4.awe anaweza hata kufunga umeme, kushika mwiko.na hata awe na idea ya ufundi wa magari.hata akifeli akishindwa kwenda form 5 na wazazi hawana hela anaweza kujiajiri.
Kweli,,kazi za ofisini,kushika kalamu si wapo watoto wa wakubwa wanatosha..?..Msipowasomesha watoto wenu ufundi simu watafanya kazi gani?
Hawa watu ni wanafiki wa kutupwa ! PtuuuuuYule mtoto wa Kimei alifunga ndoa hivi karibuni sidhani kuwa ni fundi seremala, mwashi au makenika.
Mi sipingani na kuhusu kujiajiri
Ninachopinga ni kuchukulia kujiajiri ni kitu rahisi mno wakati si kweli!
Unaposema akilimaliza form four ajiajiri hta ufundi gereji unamaanisha hyo gereji ataianzisha chini ya mti bila vifaa vyovyote?
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
daily activity usual change kuna watawala na watawaliwa but majority ni watawaliwa ambao huwa ni 99% yupo rafiki yangu mmoja aliwahi sema bila mimi kushinda hii nafasi ya ubunge na kuteuliwa katika nafasi hii niliyonayo mambo yangu mengi yasingeenda kabisa sasa kwenye kupata chance na namna hii ni wachache sana THE POWER OF INTELECTUAL MONEY nguvu hii itatuburuza sana wanyonge kiasi ajira kuzipata itakuwa tabu sana sasa kimei anaona hukoSawa kabisa, form four aende ufundi umeme badala ya form five
Ninachotaka kujua, mtoto wa Kimei alienda ufundi umeme ?
Fundi anajichanganya wapi mkuu? Kwani huo ufundi anaujua peke yake mtaa mzima? Kuna vijana wangapi wameishia darasa la saba na kidato cha nne wamesomea ufundi VETA na wamejaa tu huku uswahilini kwetu na wanalia njaa kwa maana mtaani hakuna pesa watu hawajengi kama zamani?fundi anaweza akajichanganya sehemu yoyote.akafanya kazi akaishi.
Tofauti na wasomi wengi AMBAYO wamesoma wakiamini kuajiliwa ndo kila kitu.
HUYU msomi angetoka chuo akiwa na UJUZI wake wa umeme au ujenzi.asingesubiri kuajiliwa.
Na hata mainjinia wengi kujenga hawajui.wanatagemea mafundi
Huyo fundi umeme aliyeishia kidato cha nne anaweza kusimamia uzalishaji wa umeme kidatu au bwawa jipya la mwalimu nyerere?HUYU msomi angetoka chuo akiwa na UJUZI wake wa umeme au ujenzi.asingesubiri kuajiliwa.
Na hata mainjinia wengi kujenga hawajui.wanatagemea mafundi
Engineer hawezi kujenga kwa maana sio kazi ya level zake. Huyo fundi aliyesoma VETA anaweza ku-design daraja kama lile la Mfugale au Ubungo?Na hata mainjinia wengi kujenga hawajui.wanatagemea mafundi
Mtoto wa kimei kasoma vyuo vya nje tena vikubwa hajaenda ufundi Wala nini na tatizo sio degree, ni serikali tu na mifumo mibovu ya nchi ndo inafanya elimu isiwe na tija mbona hao wazungu wanasoma ka sie sema mifumo na mazingira yao ni ngumu kufa njaa. Shida sio elimu as elimu ni mifumo mibovu ya kiutawala Africa inafanya Mambo yawe magumu kuanzia mikodi, unxishwaji biashara plus viwandaSawa kabisa, form four aende ufundi umeme badala ya form five
Ninachotaka kujua, mtoto wa Kimei alienda ufundi umeme ?
Fundi anajichanganya wapi mkuu? Kwani huo ufundi anaujua peke yake mtaa mzima? Kuna vijana wangapi wameishia darasa la saba na kidato cha nne wamesomea ufundi VETA na wamejaa tu huku uswahilini kwetu na wanalia njaa kwa maana mtaani hakuna pesa watu hawajengi kama zamani?
Tusiendelee kubishana, wewe amini hicho hicho unachokiona kinafaa kwako.
Mimi ni Taxi DriverKama wewe ni fundi na hauna kazi JITATHMINI.
hauwezi ukawa na UJUZI ukakosa kazi
Engineer hawezi kujenga kwa maana sio kazi ya level zake. Huyo fundi aliyesoma VETA anaweza ku-design daraja kama lile la Mfugale au Ubungo?
Zamani shule niliyosoma kuanzia form one Hadi form four kulikuwa na masomo mbalimbali Kama cookery, niddle work na ufundi, unfortunately serikali ikafuta hzo shule ikabaki na advance tu, so hapo kuanzia form one Hadi form four wangerudisha hayo masomo, pia wote wakiishia hzo level bila mipango ya uchumi endelevu kazi itakuwa ni ile ileNdo maana wanataka mitaala ibadilishwe.
Yaaani mtoto akitoka form 4 au 6 au chuo.
Awe na ujuzi wa ziada.
Hata akikosa ajira ujuzi wake anao utamsaidia.
Watu wanajitoa ufahamu Sana KWA hili swala Mbona watu Wana ufundi shida ni purchasing power imekuwa ndogo Sana mtaani, wao wanalaumu elimu, badala ya mifumo mibovu ya utawala, Kuna watu wamejiajiri KWA fundi mbalimbali Ila hamna kazi watu hawana helaUjuzi utamsaidia vp wakati hakuna ajira/pesa mitaani? Kama hakuna pesa mtaani hata kama mtoto ana ujuzi wa umeme atafanya wiring nyumba ya nani wakati watu hawajengi? Hata kama wapo wachache wanaojenga hao mafundi umeme au welding wapo wangapi hapo mtaani? Mwenye shibe hawezi kumkumbuka mwenye njaa hata siku moja mkuu.