Dkt. Kimei na Spika Ndugai, watoto wenu mliwasomesha ufundi simu?

Dkt. Kimei na Spika Ndugai, watoto wenu mliwasomesha ufundi simu?

fundi anaweza akajichanganya sehemu yoyote.akafanya kazi akaishi.
Tofauti na wasomi wengi AMBAYO wamesoma wakiamini kuajiliwa ndo kila kitu.
HUYU msomi angetoka chuo akiwa na UJUZI wake wa umeme au ujenzi.asingesubiri kuajiliwa.
Na hata mainjinia wengi kujenga hawajui.wanatagemea mafundi
Sawa mkuu kwa maana sisi hatuishi huko mitaani hivyo hatujui hali halisi
 
Mimi naona Mzee Kimei yupo sahihi.

Kule darasani wafundishwe pia ufundi.

Mtoto akitoka form 4.awe anaweza hata kufunga umeme, kushika mwiko.na hata awe na idea ya ufundi wa magari.hata akifeli akishindwa kwenda form 5 na wazazi hawana hela anaweza kujiajiri.
Mi sipingani na kuhusu kujiajiri

Ninachopinga ni kuchukulia kujiajiri ni kitu rahisi mno wakati si kweli!

Unaposema akilimaliza form four ajiajiri hta ufundi gereji unamaanisha hyo gereji ataianzisha chini ya mti bila vifaa vyovyote?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Siku moja niko kwa fundi simu kutengeza,sytem charge,nikamlipa tsh 15000,
Ribo saa nuliyokaa tayari watu wanne wamekuja kutengezewa na wamelipa kati ya sh 10,000 hadi 20,000,
Hivyo hawa wanaweza ingiza jwa siku hadi 200,000,
Kwa mwezi milion 6.
Wana hela ila hawajui kumanage oesa wanazopata ni karibu sawa na mshahara wa mkuu wa mkoa
 
Wapo watu wakiongea ni lazima utafakari mara mbili mbili KIMEI huwa na forensic ya kuona mbali sana au kesho
 
FUNDI NI ZAIDI YA KUJIAJIRI.
ufundi hauitaji uwe na msingi.lakini biashara inahitaji uwe na msingi.
mtoto akimaliza shule akakosa ajira.
Atakuwa na FANI YAKE YA UFUNDI.
sio lazma mtoto atoke chuo alafu aende veta.
Ikiwezekana mtoto akitoka chuo aweze kuendesha hata magari.
Mbona NI elimu inayochukua muda mfupi.
Hivi vitu vyote anatakiwa awe NAVYO maishani.
Mi sipingani na kuhusu kujiajiri

Ninachopinga ni kuchukulia kujiajiri ni kitu rahisi mno wakati si kweli!

Unaposema akilimaliza form four ajiajiri hta ufundi gereji unamaanisha hyo gereji ataianzisha chini ya mti bila vifaa vyovyote?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Sawa kabisa, form four aende ufundi umeme badala ya form five

Ninachotaka kujua, mtoto wa Kimei alienda ufundi umeme ?
daily activity usual change kuna watawala na watawaliwa but majority ni watawaliwa ambao huwa ni 99% yupo rafiki yangu mmoja aliwahi sema bila mimi kushinda hii nafasi ya ubunge na kuteuliwa katika nafasi hii niliyonayo mambo yangu mengi yasingeenda kabisa sasa kwenye kupata chance na namna hii ni wachache sana THE POWER OF INTELECTUAL MONEY nguvu hii itatuburuza sana wanyonge kiasi ajira kuzipata itakuwa tabu sana sasa kimei anaona huko
 
fundi anaweza akajichanganya sehemu yoyote.akafanya kazi akaishi.
Tofauti na wasomi wengi AMBAYO wamesoma wakiamini kuajiliwa ndo kila kitu.
HUYU msomi angetoka chuo akiwa na UJUZI wake wa umeme au ujenzi.asingesubiri kuajiliwa.
Na hata mainjinia wengi kujenga hawajui.wanatagemea mafundi
Fundi anajichanganya wapi mkuu? Kwani huo ufundi anaujua peke yake mtaa mzima? Kuna vijana wangapi wameishia darasa la saba na kidato cha nne wamesomea ufundi VETA na wamejaa tu huku uswahilini kwetu na wanalia njaa kwa maana mtaani hakuna pesa watu hawajengi kama zamani?

Tusiendelee kubishana, wewe amini hicho hicho unachokiona kinafaa kwako.
 
HUYU msomi angetoka chuo akiwa na UJUZI wake wa umeme au ujenzi.asingesubiri kuajiliwa.
Na hata mainjinia wengi kujenga hawajui.wanatagemea mafundi
Huyo fundi umeme aliyeishia kidato cha nne anaweza kusimamia uzalishaji wa umeme kidatu au bwawa jipya la mwalimu nyerere?
 
Sawa kabisa, form four aende ufundi umeme badala ya form five

Ninachotaka kujua, mtoto wa Kimei alienda ufundi umeme ?
Mtoto wa kimei kasoma vyuo vya nje tena vikubwa hajaenda ufundi Wala nini na tatizo sio degree, ni serikali tu na mifumo mibovu ya nchi ndo inafanya elimu isiwe na tija mbona hao wazungu wanasoma ka sie sema mifumo na mazingira yao ni ngumu kufa njaa. Shida sio elimu as elimu ni mifumo mibovu ya kiutawala Africa inafanya Mambo yawe magumu kuanzia mikodi, unxishwaji biashara plus viwanda
 
Kama wewe ni fundi na hauna kazi JITATHMINI.
hauwezi ukawa na UJUZI ukakosa kazi
Fundi anajichanganya wapi mkuu? Kwani huo ufundi anaujua peke yake mtaa mzima? Kuna vijana wangapi wameishia darasa la saba na kidato cha nne wamesomea ufundi VETA na wamejaa tu huku uswahilini kwetu na wanalia njaa kwa maana mtaani hakuna pesa watu hawajengi kama zamani?

Tusiendelee kubishana, wewe amini hicho hicho unachokiona kinafaa kwako.
 
Ndo maana wanataka mitaala ibadilishwe.
Yaaani mtoto akitoka form 4 au 6 au chuo.
Awe na ujuzi wa ziada.
Hata akikosa ajira ujuzi wake anao utamsaidia.
Zamani shule niliyosoma kuanzia form one Hadi form four kulikuwa na masomo mbalimbali Kama cookery, niddle work na ufundi, unfortunately serikali ikafuta hzo shule ikabaki na advance tu, so hapo kuanzia form one Hadi form four wangerudisha hayo masomo, pia wote wakiishia hzo level bila mipango ya uchumi endelevu kazi itakuwa ni ile ile
 
Ujuzi utamsaidia vp wakati hakuna ajira/pesa mitaani? Kama hakuna pesa mtaani hata kama mtoto ana ujuzi wa umeme atafanya wiring nyumba ya nani wakati watu hawajengi? Hata kama wapo wachache wanaojenga hao mafundi umeme au welding wapo wangapi hapo mtaani? Mwenye shibe hawezi kumkumbuka mwenye njaa hata siku moja mkuu.
Watu wanajitoa ufahamu Sana KWA hili swala Mbona watu Wana ufundi shida ni purchasing power imekuwa ndogo Sana mtaani, wao wanalaumu elimu, badala ya mifumo mibovu ya utawala, Kuna watu wamejiajiri KWA fundi mbalimbali Ila hamna kazi watu hawana hela
 
Back
Top Bottom