GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Haiwezekani Mtu unasali Kuanzia Saa 12 asubuhi hadi Saa 12 Jioni au hata kwa Masaa 8 mfululizo ukawa Salama Kichwani mwako.
Napenda mno Ratiba za Ibada za Waislamu na hata Madhehebu mengine ya Kikristo ambapo zimepangiliwa kabisa muda na hauzidi dakika 45 mpaoa dakika 90 au 120 tu na hazizidi hapo.
Haingii Akilini Mtu Jumatatu hadi Jumatatu Yeye ni Kusali tu Asubuhi hadi Jioni halafu hapo hapo unamkuta analalamika ana Maisha magumu na Shida hazimuishi hawa Kisaikolojia wana tatizo Kubwa mno la Afya ya Akili ( Uwendawazimu ) na wanahitaji Tiba ya haraka sana" amesema Daktari ( Dkt ) Kweka wa Magic FM juzi akiwa katika 'Segment' ya Chumba cha Daktari ya Magic FM ndani ya Kipindi kizuri cha Morning Magic.pp
Dkt. Kweka popote pale ulipo kwa Makavu haya na Ukweli huu ambao GENTAMYCINE nimeupenda na Kuukubali tena 100% naomba nipendekeze kwa 'Intellectuals' Wote Tanzania tuchangishane na tukujengee Mnara wako wa Kumbukumbu kama Daktari Msemakweli Daima na usiye na Unafiki wala Uwoga.
Haya wale Wagonjwa wa Afya ya Akili mlioguswa na Ujumbe huu ( hasa hasa ) wa Kawe, Mwenge, Mbezi Kimara, Ubungo, Kigamboni, Mikocheni, Tegeta na Gongo la Mboto karibuni mjitetee kwani Sisi wengine akina GENTAMYCINE tunasali zile Ibada zilizoenda Shule na za Kisomi ( Kistaarabu ) ambazo unaingia Ibadani Saa 12 na Nusu Asubuhi na Saa 2 Kamili tunamaliza ili tuendelee na Majukumu mengine ya Kujenga nchi na siyo Kushinda Kutwa Ibadani mpaka unaanza Kupiga Miayo na Kushuhudia Shuhuda za Kipuuzi na za Uwongo Uwongo tupu.
Ninafurahi sana kuwa Roman Catholic!!!