Ni kweli.
Tuna dhambi nyingi,
Tunamuogopa Mungu.
Tunahitaji muda wa kutosha kujipatanisha na Mungu.
Warumi 3 : 23
"kwa sababu wote wamefanya dhambi, na kupungukiwa na utukufu wa Mungu; "
Yohana 3 : 19
" Na hii ndiyo hukumu; ya kuwa nuru imekuja ulimwenguni, na watu wakapenda giza kuliko nuru; kwa maana matendo yao yalikuwa maovu. "
Yohana 3 : 20
"Maana kila mtu atendaye mabaya huichukia nuru, wala haji kwenye nuru, matendo yake yasije yakakemewa. "
Hata hivyo , Gentamycin na washirika wake jitafakarini kwa hayo maandiko hapo juu.
Kisha:-
Isaya 1 :18
"Haya, njoni, tusemezane, asema BWANA. Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekundu kama bendera, zitakuwa kama sufu. "
Isaya 1 :19
"Kama mkikubali na kutii mtakula mema ya nchi; "
Isaya 1 : 20
"bali kama mkikataa na kuasi mtaangamizwa kwa upanga; maana kinywa cha BWANA kimenena haya. "