Asilimia kubwa watu wanaoshinda makanisani wako frustrated na matatizo mbali mbali either ugonjwa, maisha magumu ,kazi, matatizo ya ndoa na familia, ushirikina, kutopata watoto etc..kwahiyo mtu anakuwa frustrated na akili inavurugika kwa hiyo break ya kwanza nikushinda kanisani kutwa nzima. Watu wengi wanamtafuta Mungu awatendee miujiza ndio maaana wanajazana kwenye makanisa ya manabii . Wanaoenda for purpose ya ibada na kumwabudu Mungu na si miujiza na kushinda kutwa nzima Ni wachache sana
Sent from my Infinix X657 using
JamiiForums mobile app