Dkt. Kweka wa Magic FM: Wanaosali muda mrefu wana 'Uwendawazimu' wanahitaji Tiba ya haraka ya Kisaikolojia

Dkt. Kweka wa Magic FM: Wanaosali muda mrefu wana 'Uwendawazimu' wanahitaji Tiba ya haraka ya Kisaikolojia

Wengine wajinga ni wale ambao hutoa mali zao kama fedha kwa jina la sadaka halafu anabaki hana kitu then anaanza kulialia hana kitu wakati kagawa mwenyewe baada ya kusomewa kitabu aina ya Biblia au Quran,
 
Wajinga wengine ni wale wanaoamini kila neno wanaloambiwa na wachungaji na maaskofu wao bila kufanyia tafakari nao kuyabeba kama yalivo
 
Hapana shida sisi kuwa na ugonjwa wa kiakili, maana Ni ugonjwa mdogo Sana Tena wa muda mfupi tutakaoishi hapa duniani.
Shida ipo kwako wewe Genta na dokta wako Kweka, ninyi mnaumwa ugonjwa wa kiroho ambao Ni super chronic, maana unawatesa katika maisha yenu mafupi ya hapa duniani, na milele yote mtateswa na ugonjwa huu..r
Kusali muda mrefu ndo kujihakikishia tiketi mbinguni?
Wapo wanao subiri kufanikiwa kimiujiza waishia kusema "i receive ..." badala ya kuongeza na bidii ya kufanya kazi....

Rafiki kama ukiishi kwa falsafa hiyo sitegemee kutoboa...
 
Nakazia Imani ni Uwendawazimu unaosababisha watu wengi kupata Hallucinations,
Wanakua kama wendawazimu waliowehuka maana unakuta mtu anakesha anasali kutwa nzima milango hewa ya baraka hewa imjie kama miujiza awe tajiri na hafanyi kazi Sasa anapoona mambo hayaendi lazima awe frustrated na Mungu hamjibu na kama angekuwepo kweli sidhani kama angewajibu wendawazimu kama hao wanaoomba tu bila kufanya Kazi!
Pumbavuuuuu!
Anaesali pasipo kufanya Kazi huyo amjui Mungu.
Dini zote zinahimiza bidii katika Kazi.
 
Utakuta mtu anatoka na watoto saa 12 anarudi nao saa 8 hawajala ama wamekunywa vijuisi. Ukweli haya makanisa ya mabati full suti kama kota za polisi wanahangaika sana. Utakuta wana madaftari kabisa wanaenda kuandika somo la mchungaji. Aliyeharibu akili za waumini wa Kuhani Mussa, Mwamposa na mchungaji Rashid amewaweza sana. Halafu walokole asilimia 95 ni waongo na wakikukopa hawalipi.

Watakulipaje wakati muda wa kazi wao wanaomba na wakipata kidogo wanakitoa madhabahuni
 
Huyo daktari atakuwa ni devil worshiper kwa hiyo maombi yanamharibia mambo yake, bila Utafiti usikurupuke kuwasema wenzako kuwa ni wagonjwa kumbe wakati huo huo wewe ni mgonjwa unayehitaji msaada.
 
Msiwafanye watu hao kama hawana hekima na busara katika kusali kwao. Kama suala ni la kisaikolojia basi dini zote bila saikolojia hazitakuwa na waumini
 
Yesu mwenyewe akikutembelea utaomba poo kama Paulo kwenye Matendo ya Mitume sura ya Tisa.
Utainua mikono mwenyewe ndipo utaelewa kwa nini walokole wanalia bila kupigwa
 
Back
Top Bottom