Dkt. Kweka wa Magic FM: Wanaosali muda mrefu wana 'Uwendawazimu' wanahitaji Tiba ya haraka ya Kisaikolojia

Huyu ni mkatoliki nyemelezi.
Anavizia tu zile ibaada fupifupi ndo anashiriki.
 
Mkuu tena huko ndio balaa,kuna waganga hadi wana mabanda ya kulaza wageni na wagonjwa,mtu anaweza kukaa hata miezi mitatu kila siku anaogeshwa dawa makaburini na kuaguliwa
 
Pole Sana, Mungu akusaidie!
 
Kwani wewe mtu akisali zake hata mwezi shida yako ni nini?
Yaani mwingine asali huko,wewe uteseke?si umuache na kusali kwake wewe tafuta hela?
Yaani wewe unajua sana kuliko serikali ambayo imeacha watu wafuate imani zao kwa uhuru.

Kwa kua akisali zake hakupunguzii tonge la mboga yako,wewe unawashwa washwa nini?

Pambana na maisha yako,huku duniani si kila jambo lazima tufanane,wewe endelea kunywa bia ni tamu
 
We' jamaa ni domo zege? Wewe si domo zege, ila hupendi kufuatilia demu kwa muda mrefu, hivyo unakata tamaa mapema. Hujui kubembeleza, unapenda vitu viwe programmed sana, na mademu zetu hawa hawapo hivyo. Wanataka kufuatiliwa, kubembelezwa, kunyenyekewa, kujaliwa n.k, ila Genta haupo hivyo! Unapenda shortcut mno kijana wangu!
 
Huyu ni mkatoliki nyemelezi.
Anavizia tu zile ibaada fupifupi ndo anashiriki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo Dk Kweka mwenyewe ana matatizo ya kisaikolojia ndio maana alisomea masomo ya saikolojia
 
Sasa mbona wote wanafanana? Wote wakemewe kuacha kupoteza muda Bali wafanye kazi na waache kupoteza muda kwenye jambo moja huku wakiacha kutafuta vipato mwisho wa siku jukumu la Kwanza walilopewa na Mungu la kufanya kazi linawashinda mwisho wanaletea familia zao umasikini.
 
Ni kweli.
Tuna dhambi nyingi,
Tunamuogopa Mungu.
Tunahitaji muda wa kutosha kujipatanisha na Mungu.

Warumi 3 : 23
"kwa sababu wote wamefanya dhambi, na kupungukiwa na utukufu wa Mungu; "

Yohana 3 : 19
" Na hii ndiyo hukumu; ya kuwa nuru imekuja ulimwenguni, na watu wakapenda giza kuliko nuru; kwa maana matendo yao yalikuwa maovu. "

Yohana 3 : 20
"Maana kila mtu atendaye mabaya huichukia nuru, wala haji kwenye nuru, matendo yake yasije yakakemewa. "

Hata hivyo , Gentamycin na washirika wake jitafakarini kwa hayo maandiko hapo juu.

Kisha:-

Isaya 1 :18
"Haya, njoni, tusemezane, asema BWANA. Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekundu kama bendera, zitakuwa kama sufu. "

Isaya 1 :19
"Kama mkikubali na kutii mtakula mema ya nchi; "

Isaya 1 : 20
"bali kama mkikataa na kuasi mtaangamizwa kwa upanga; maana kinywa cha BWANA kimenena haya. "
 
Mkuu kwa Ufafanuzi wako huu mzuri, wa uhakika na uliojaa Madini tupu kutoka Kwako Mwerevu kwenda kwa huyo Juha Mwandamizi YEHODAYA naomba ruhusa yako sasa nikuite ama Daktari wa Falsafa ( Honorary PhD Holder ) au Professor ( Profesa )
 
Mkuu tena huko ndio balaa,kuna waganga hadi wana mabanda ya kulaza wageni na wagonjwa,mtu anaweza kukaa hata miezi mitatu kila siku anaogeshwa dawa makaburini na kuaguliwa
Kabisa ,..
Ndo Hawa wakirudi uraiani wanaanza sijui hakuna Mungu, sijui hakuna Nini,
Wee toka lini nuru na Giza vikakaa na kuelewana!
Kwa vyovyote vile mtu asiyekuwa na mambo ya gizani hawezi kuangaika na watu wenye ustaarabu wao wa ibaada , Kwani wanampunguzia Nini.
Kila mtu na afanye mambo kwa imani yake na kwa faida yake ya kimwili, kiakili na kiroho ili mradi havurugi Uhuru wa mwingine Alie kinyume nae..
 
Hakuna Watu ninaowadharau kama Walokole Mkuu ila ninachowapendea tu ni kwamba Ukiwatongoza na kuwaahidi ama Kuwapa Mimba au Kuwaoa au hata Kuwadanganya na Uongo unaokaribia Ukweli utawalala ( utawatia ) hadi Uwakinai kama vile GENTAMYCINE ninavyowakinai sasa na 'Mbunye' zao zinazotia Huruma ya Kiroho kila mara.
 
Hakika, umefafanua vizuri. Wanaokesha kwenye ibada kwa lengo la kuabudu ni wachache sana, Wengi wanaokesha na kushinda makanisani/misikitini ni wale wanaotaka miujiza kutokana na changamoto mbalimbali wanazopitia maishani
 
Mkuu huwezi amini yaani hii post yako imenifanya nicheke sana kwani kuhusu Mimi umeongea 99% wa Uhalisia wangu halafu nahisi pia utakuwa unanijua vyema ( Personally ) kwani umepatia vingi vya Kunihusu na umepiga mule mule. Ninacheka mno hapa....!!!
 

tatizo sio kusali mda mwingi.bali imani ikikukaa kichwani inaanza kukugeuza mwendawazimu. hakuna cha mkristo,muislamu wala nani!
 
Huyo Dk Kweka mwenyewe ana matatizo ya kisaikolojia ndio maana alisomea masomo ya saikolojia
Jamani basi imetosha kwa hizi 'Comments' zenu hapa kwani huku nilipo nacheka mpaka naanza kusahau kama leo Simba SC yangu inacheza na Mtibwa Sugar FC Saa 10 Jioni na kwamba Ushindi kwa Simba SC yangu huko ni ama Sare au Kufungwa tena kama ilivyokuwa kwa Mbeya City ili tuanze Kuchapana Bakora vizuri.
 
Wanafanana kwenye muda tu ila anaekunywa pombe muda mrefu ana hasara nyingi zaidi kuliko anayesali muda mrefu.

Kwanza hakuna mtu anasali saa moja mpaka saa 12 jumatatu hadi jumatatu,huyo Dkt.karopoka tu.

Ila kuna kuna mtu anakunywa pombe asubuhi mpaka usiku jumatatu hadi jumatatu,hao wapo wengi tu.
 
...."mtakula mema ya nchi"... Hii hutokea ukiwa hai au mpaka ufe kwanza na hukumu ipite ukutwe hauna kesi ya kujibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…