Dkt. Kweka wa Magic FM: Wanaosali muda mrefu wana 'Uwendawazimu' wanahitaji Tiba ya haraka ya Kisaikolojia

Wengine wajinga ni wale ambao hutoa mali zao kama fedha kwa jina la sadaka halafu anabaki hana kitu then anaanza kulialia hana kitu wakati kagawa mwenyewe baada ya kusomewa kitabu aina ya Biblia au Quran,
 
Wajinga wengine ni wale wanaoamini kila neno wanaloambiwa na wachungaji na maaskofu wao bila kufanyia tafakari nao kuyabeba kama yalivo
 
Kusali muda mrefu ndo kujihakikishia tiketi mbinguni?
Wapo wanao subiri kufanikiwa kimiujiza waishia kusema "i receive ..." badala ya kuongeza na bidii ya kufanya kazi....

Rafiki kama ukiishi kwa falsafa hiyo sitegemee kutoboa...
 
Anaesali pasipo kufanya Kazi huyo amjui Mungu.
Dini zote zinahimiza bidii katika Kazi.
 

Watakulipaje wakati muda wa kazi wao wanaomba na wakipata kidogo wanakitoa madhabahuni
 
Huyo daktari atakuwa ni devil worshiper kwa hiyo maombi yanamharibia mambo yake, bila Utafiti usikurupuke kuwasema wenzako kuwa ni wagonjwa kumbe wakati huo huo wewe ni mgonjwa unayehitaji msaada.
 
Msiwafanye watu hao kama hawana hekima na busara katika kusali kwao. Kama suala ni la kisaikolojia basi dini zote bila saikolojia hazitakuwa na waumini
 
Yesu mwenyewe akikutembelea utaomba poo kama Paulo kwenye Matendo ya Mitume sura ya Tisa.
Utainua mikono mwenyewe ndipo utaelewa kwa nini walokole wanalia bila kupigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…