Dkt. Kweka wa Magic FM: Wanaosali muda mrefu wana 'Uwendawazimu' wanahitaji Tiba ya haraka ya Kisaikolojia

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mtu ana kwambia malaika sijui ana mabawa sijui na maujinga gani huko
 
Binafsi me hata kurudia rudia maombi naonaga ni kumsumbua muumba wangu. Muumba wangu si kichaa kusema anasahau jambo akiambiwa. Mara moja basi inatosha. Ubongo ana akiki yake haipimiki kwenye kutunza kumbukumbu.

Mf. Sisi wenyewe binadamu huwa tunachukia kuambiwa jambo mara nyingi. Hii kitu hukera sana. Huwa tunaona kama dharau hivi kuwa tayari tunakumbusha namna kwamba hatujui wajibu zetu??
 
Wakatoliki njooni huku mjibu maana ninyi ndio huwa mnarudiarudia maneno yale yale mnaposali Rozali.Mkuje huku
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mtu ana kwambia malaika sijui ana mabawa sijui na maujinga gani huko
halafu Huyo Huyo ukimwambia Nchi ya Wakanda IPO kweli ataweza akane ujue,au ukimwambia ni fiction characters walobuniwa kama wao wanavyoamini Mbinguni ni real kumbe ni just fantasy ataweza akupopoe mawe!
😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…