Tetesi: Dkt. Likwelile kupandishwa Kisutu, yupo mikononi mwa TAKUKURU

Maskini Vicky Kamata Likwelile!
Hapo laweza kuwepo gundu? Au unasemaje mzee wa udaku Professor Lizaboni? Maana kuna ile ndoa tulichanga milioni 90 ikaishia kupigwa drip hospitalini. Halafu kuna ule wakati bwana mkubwa mzee wa totoz aliposema anataka kuonja asali yeye akaachia jumla bila kinga tukapata uzao.
Lakini bwana mkubwa akashtuka na kusema sitaki Wanawake na Maendeleo ya bongo flava nataka Wanawake na Maendeleo ya kitaasisi tuu.
Sasa Leo tena mtu unajitumbukiza shimo la fedha (hazina) linageuka shimo la choo?
GUNDU!
 


Dah kwa kweli Watu watayakataa haya madaraka sasa hivi..
Utakuta kosa la mwingine unahukumiwa wewe kisa kiongozi ndio ulokuwa hapo..
Mambo mengine yangekuwa yanazungumzwa kimya kimya yanamalizwa sio kudhalilishana.
Hebu fikiri tuuu wewe unayeshabikia kama ndio wewe...usichekelee kisa ni mwenzio..sio wote wenyekupelekwa mahakamani katika hawa viongozi ni kuwa wamekula wao pesa, ila utakuta ni mfanyakazi wa chini lakini unayewajibishwa ni kiongozi .........
Hii sasa, kila kukicha issue hadi kero
 


Dah si unyooshe mistari tuu tuelewee
 
Vicky kamata hana bahati ya ndoa aisee, kama jamaa akithibitika na tuhuma basi gereza litawatenganisha.
Sina hakika na taarifa hii ya likwelile , ila naweza kuthibitisha gundu kali la vicky kamata , jamani hasa vijana mkitaka kuoa ni vema mkapiga ramli kwanza .
 
Sina hakika na taarifa hii ya likwelile , ila naweza kuthibitisha gundu kali la vicky kamata , jamani hasa vijana mkitaka kuoa ni vema mkapiga ramli kwanza .
Hana gundu mkuu, mbona alietokajumba kubwa hakuwahi kupatwa na majanga na inasemekana walikuwa karibu?!
 
Serikali wakitaka washinde hii kesi labda wawatumie Kibatala au Lisu,ila wakiwatumia hao mawakili wa serikali likwilile atashinda mchana kweupe.
 
Ni wakati sasa wa mahakama ya mafisadi kukunjua makucha
 
Mkuu anaonekana kajipanga aisee....

Wenye mavyeo kuwen makin
 
Kama ni kweli ni vita kati ya mkulu na shemeji.
Sii mnajua chombo cha mtuhumiwa ni Mbunge wa vitu maalumu kutoka mkoa ule wa dhahabu na ambao ile wilaya pekee nchini yenye traffic light ipo?
Wilaya gani hiyo yenye traffic lights Tanzania ...............!!?
 
Huyu jamaa ilishadhihirka muda mrefu sana kwamba anatakiwa ashtakiwe kwa kuwa ndiye kingpin wa madili yote ya MOF
 
Kama ni kweli ni vita kati ya mkulu na shemeji.
Sii mnajua chombo cha mtuhumiwa ni Mbunge wa vitu maalumu kutoka mkoa ule wa dhahabu na ambao ile wilaya pekee nchini yenye traffic light ipo?
Geita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…