Tetesi: Dkt. Likwelile kupandishwa Kisutu, yupo mikononi mwa TAKUKURU

Kuna tetesi itaanza na Richmond Mkuu!
 
Haraka ya nini
 
..huko polisi pia akaeleze walivyobariki wizi wa pesa za escrow....yeye na genge lake.....
 
likwelile inasemekana aliamua kuachia ngazi baada ya kuona taratibu za fedha zinakiukwa kwa amri za kisiasa kutoka juu,kwa sababu barua ya kujiuzulu imepokelewa kwa mtukufu yeye akaamua kuipindua kama utumbuzi!!!
Kwahiyo kipindi cha nyuma walikuwa hawapokei amri/maelekezo kutoka "juu"? Acha mchezo!
 
Huyu jamaa nikimuangaliaga tu sura yake kwangu imekaa ya kupiga dili, my insticts were right, bado mkurugenzi mkuu wa Tanesco, nae binafsi nafsi yangu haimuamini, namuona mpiga dili fulani.
Usiishi ktk fikra za kudhani ishi ktk ukweli! Unakoelekea hata wale watoto wako ambao sura zao ni tofauti nawe utaanza sasa hivi kudhani sio wako na ukiishi 'kwa kudhani' watakuwa sio wako kweli! Kingine punguza wivu wako wa kike!
 
Kama ni kweli ni vita kati ya mkulu na shemeji.
Sii mnajua chombo cha mtuhumiwa ni Mbunge wa vitu maalumu kutoka mkoa ule wa dhahabu na ambao ile wilaya pekee nchini yenye traffic light ipo?
Wewe unaamini hao watu wa Bombardier? Mkulupuko ndio maisha yao! Wanaweza kuwapandisha Kizimbani wakurugenzi Harmashauri nk lkn sio hao wengine....wapi LUGUMI..ESCROW... EPA...RICHMOND...
 
Huyu jamaa nikimuangaliaga tu sura yake kwangu imekaa ya kupiga dili, my insticts were right, bado mkurugenzi mkuu wa Tanesco, nae binafsi nafsi yangu haimuamini, namuona mpiga dili fulani.
Kazi kwelikweli, sijui kwanini watu mnapenda kuona wenzenu wakipatwa na mabaya. Yaani unatumia nafsi yako tu kutomuamini mtu na kutoa judgement? Taifa la ajabu hili.
 
wazee wa zamani walikuwa wanakuita wanakuelekeza familia ya kuoa,nahisi huyu mh kuna jambo lamuandama,haiwezekani vidume vipite tu au vipate majanga

halafu mwandishi acha uongo,mbona jamaa yupo tu na mimi nimemuona leo
Likwelile aliondoka pale wizarani kwa ridhaa yake!! Na bwana mkubwa hakupenda ile style na aliona kama anakosolewa!!

Taratibu za kifedha now zimevurugwa mno na huyu mr never told!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…