Dkt. Louis Shika: Mgeni mualikwa mahafali ya chuo cha afya Kahama Shinyanga, atangaza neema

Kimasihara tuu unakuta kapata mabilioni humu humu Tanzania na anaenda kuyajenga na Lugumi wake.
 
Mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
 
Bora ukae kimya mkuu maana ungepata kuona na kusikia aliyoyalonga ungekimbia kujificha ukaona elimu yako si lolote.

Huyu jamaa ni intelligent no matter how his current situation seems to embarrass you bro.
 
Kweli alikuwa kwenye hali ngumu sasa ameweza hata kwenda maeneo ya kwao;
Akitia mguu KOLOMIJE viboko 12 vitamuhusu. Ila zile suti za jana walimpora baada ya kupima Tezi dume nini, MUNGU anawaona kama aliporwa. Waweza kuta zimerejeshwa dukanai kuuzwa
 
Reactions: Lee
Dr Shika amgeuka Lugumi....[emoji12] [emoji12]
Ameahidi kuisaidia wilaya ya Kahama dollar milioni moja.
Ameahidi kukisaidia chuo cha Afya Kahama Dollar million moja, a amesema kwamba isipo tosha ataongeza nusu yake.

Wakuu nimeweka video mjionee
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…