Dkt. Louis Shika: Mgeni mualikwa mahafali ya chuo cha afya Kahama Shinyanga, atangaza neema

Apewe ukuu wa chuo kabisa!
Kwahili haito wezekana kwasababu ya mshahara aiseeeeee.......
Kama leo tu, jamaa amelambishwa milioni 4 plus full accommodation...[emoji4]

Labda anaweza akawa board member wa Chuo
 
Pole sana
 
Hivi ni vichwa vya Mwalimu Nyerere vy enzi hizo,msimchukulie poa.Hicho chuo wakimchukua afundishe wameramba dume,
Yani kichwa mchungwa afundishe chuo ?

Wewe una matatizo sana
 
Dogo acha kuonea mwanaume mwanzako wivu.
 
So touching! Nice words
 
Dr. Luis Shika Awa Gumzo Shinyanga, Kahama Kwenye Mahafali Chuo
Matukio kwa Picha....
Dr Shika Mzee wa 900 itapendeza alivyoingia na msafara Mkubwa kama Raisi Ndani ya Kahama[emoji23][emoji23][emoji23] Kama umeipenda, mpe neno!!
Hapa alikuwa kaingia kwa namna Hii
 
Kweli alikuwa kwenye hali ngumu sasa ameweza hata kwenda maeneo ya kwao;
hahaha, wasukuma walikua hawataki Dr. shika aonekana ni msukuma, soon wataanza kumtangaza kuwa ni msukuma. binafsi nilivyosikiliza speech zake hasa akieleza issue yake ya Russia, tangu siku ya kwanza nilisema huyu dr sio chini, ana akili timamu tena ana akili nyingi sana sana, yuko very consistent and coherence kwenye narration zake. namtakia yote mema, anaweza kuwa ameumia moyo sana kwa upweke na matatizo mengi, Mungu ndio ameamua kumtokea ampe furaha...huwezi jua maombi yake akiwa peke yake chumbani kule tabasa sijui alikuwa anaomba nini kwa Mungu (though I hope atakuwa anaamini kuna Mungu kwasababu warusi au watu waliosoma urusi wengi huwa ni ma atheist). namwombea kwa Mungu amsaidie ampe hela afurahie maisha hadi waliomdharau wakome.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…