Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania Ofisi za NEC

Mnataka Tanzania iwe kama Ulaya,at the same hamuwapendi mabeberu.
Toke lini unataka kuwa kama mtu usiempenda ?
Yaani wanasiasa wa Tanzania ni ngumu kuwaelewa wanataka nini ?
Sio wanasiasa wote Ni huyu jamaa tu

Mkapa aliwaita _ wawekezaji
Kikwete aliwaita _ wadau wa maendeleo
Jamaa amawaita _ mabeberu
Lakini anawaomba wasamehe madeni kwa sababu ya korona,Sasa sijui hayo madeni yalikujaje.
 
Hao washangiliaji kweli wapo hapo au kama vicheko vya kwenye TV comedy shows? Au wamelipwa?
 
Mwambie tutamuwekea pingamizi tu mwaka huu, hakuna jinsi hata kama ni Baba Mkwe
 
Mwacheni alikaange na cotanak,
Hao mabeberu ndiyo watakaomng'oa mwaka huu.
Anatukana mamba mto hajavuka!!
Ni kwa win win situation! Hapo mwanzo sisi tulikuwa tunapata 1% wao 99% wanaondoka nayo. Sasa sisi tunabaki na 66% na wao wanaondoka na 36%. Akina Lissu na wenzake wanataka kuturudisha kule kwa 1% au 0%!
 
Ni kwa win win situation! Hapo mwanzo sisi tulikuwa tunapata 1% wao 99% wanaondoka nayo. Sasa sisi tunabaki na 66% na wao wanaondoka na 36%. Akina Lissu na wenzake wanataka kuturudisha kule kwa 1% au 0%!
Baada ya kujifungia chumbani na hao unaowaita wanaume,umekuja na jibu hili?[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Hatuwataki mabeberu. Wapinzani wa aina ya Lissu na Zitto wamekuwa na watakuwa wanashirikiana na mabeberu kutuibia.



Hivi imefikia wakati usalama wa taifa wanajifanya wananchi na kuuza mahindi. Ana bastola kbisa
 

Attachments

  • B7BCCFD8-7B8E-4FF0-AC48-7FB26CC660E1.jpeg
    41 KB · Views: 1
Lakini anawaomba wasamehe madeni kwa sababu ya korona,Sasa sijui hayo madeni yalikujaje
Very strange! Huyu hajui anachokisema! Lisu atamuendesha sana hyu mtu! Hizi siyo hoja, watanzania wanajua kuwa hata ARVs ni za hao mnaowaita mabeberu! Wanajua barabara ni za " Kwa Msaada wa watu wa America etc! Wanakuona hujui unachoongea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…