Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
😂😂😂😂Hapo Sasa,Tena waliwaita wanaume baada tu ya kutoka nao ndani.Aisee.!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂Hapo Sasa,Tena waliwaita wanaume baada tu ya kutoka nao ndani.Aisee.!
Sio wanasiasa wote Ni huyu jamaa tuMnataka Tanzania iwe kama Ulaya,at the same hamuwapendi mabeberu.
Toke lini unataka kuwa kama mtu usiempenda ?
Yaani wanasiasa wa Tanzania ni ngumu kuwaelewa wanataka nini ?
Tutafika tu mkuu 2025Alituambia hivyo tena 2015,sasa sababu ni miaka 5 imepita nadhani sasa tutakua tumefikia level za South Africa mkuu.
Na hao anaowaitwa mabeberu walipositisha msaada baada ya barua ya Zito mbona waliweweseka sana..!?Wale mabeberu wa Barrick mbona waliwapokea wakakaa nao ndani walipotoka nje waliwaita wanaume.
Hapo chachaWale mabeberu wa Barrick mbona waliwapokea wakakaa nao ndani walipotoka nje waliwaita wanaume.
Mpaka walitaka kumtoa Zitto uhaiNa hao anaowaitwa mabeberu walipositisha msaada baada ya barua ya Zito mbona waliweweseka sana..!?
utasikiaje kazungumza nini wakati we kiziwiLisu toka afike hakuna lolote la maana alilozungumza
Ni kama vile anasubiri cha kuzungumza na waliomtuma.
Yaani hata huwezi jua nini hasa wanataka... mabeberu au misaada yao... KWELI BANIANI MBAYA KIATI CHAKE DAWAMpaka walitaka kumtoa Zitto uhai
Ni kwa win win situation! Hapo mwanzo sisi tulikuwa tunapata 1% wao 99% wanaondoka nayo. Sasa sisi tunabaki na 66% na wao wanaondoka na 36%. Akina Lissu na wenzake wanataka kuturudisha kule kwa 1% au 0%!Mwacheni alikaange na cotanak,
Hao mabeberu ndiyo watakaomng'oa mwaka huu.
Anatukana mamba mto hajavuka!!
Baada ya kujifungia chumbani na hao unaowaita wanaume,umekuja na jibu hili?[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Ni kwa win win situation! Hapo mwanzo sisi tulikuwa tunapata 1% wao 99% wanaondoka nayo. Sasa sisi tunabaki na 66% na wao wanaondoka na 36%. Akina Lissu na wenzake wanataka kuturudisha kule kwa 1% au 0%!
Magufuli hili ameliongelea leo.Hivi mbona hakuna mgombea anayesema atatuokoaje graduates tuliokwama kuanzia pale 2015?
.
Hatuwataki mabeberu. Wapinzani wa aina ya Lissu na Zitto wamekuwa na watakuwa wanashirikiana na mabeberu kutuibia.
Huwezi jua huku ndani walifanya nini hadi akawaita wanaume.Wale mabeberu wa Barrick mbona waliwapokea wakakaa nao ndani walipotoka nje waliwaita wanaume.
Very strange! Huyu hajui anachokisema! Lisu atamuendesha sana hyu mtu! Hizi siyo hoja, watanzania wanajua kuwa hata ARVs ni za hao mnaowaita mabeberu! Wanajua barabara ni za " Kwa Msaada wa watu wa America etc! Wanakuona hujui unachoongea!Lakini anawaomba wasamehe madeni kwa sababu ya korona,Sasa sijui hayo madeni yalikujaje
[emoji115][emoji115][emoji115]Hapo Sasa,Tena waliwaita wanaume baada tu ya kutoka nao ndani.Aisee.!