Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania Ofisi za NEC

Wakati misaada yao mnaihitaji kwa kuwapigia magoti na bakuli lenu!
Hatuwataki mabeberu. Wapinzani wa aina ya Lissu na Zitto wamekuwa na watakuwa wanashirikiana na mabeberu kutuibia.

Hatuwataki mabeberu. Wapinzani wa aina ya Lissu na Zitto wamekuwa na watakuwa wanashirikiana na mabeberu kutuibia.

sisi bado sana kuwakataa mabeberu mkuu ndio nsio wazuri but bado sana yatu bidi kuyasema moyoni tu ila kiukeli bado tunawaitaji mpaka hapo badae sana labda bahada ya miaka 40 ijayo
 
Wakati misaada yao mnaihitaji kwa kuwapigia magoti na bakuli lenu!
Nani kakwambia tunahitaji misaada yao hiyo yenye masharti ya hovyo? Hiyo ilikuwa zamani tulipokuwa nchi masikini. Sisi si nchi masikini tena. Ni middle income country sawa na Afrika kusini, Nigeria na India. Tukitaka pesa tunakopa kwenye taasisi ye yote ya kifedha kwa riba ya kibiashara maana uwezo wa kurudisha mikopo tunao.
 
sisi bado sana kuwakataa mabeberu mkuu ndio nsio wazuri but bado sana yatu bidi kuyasema moyoni tu ila kiukeli bado tunawaitaji mpaka hapo badae sana labda bahada ya miaka 40 ijayo
Nadhani hauko au haukuwako Tanzania. Sisi si nchi masikini tena. Ni middle income country. Kama mtu mmoja tu ameweza kuvuna tanzanite ya Sh. 15 billion ndani ya mwezi mmoja kwa nini tuhitaji misaada! Unahitaji mind setting.
 
Wale mabeberu wa Barrick mbona waliwapokea wakakaa nao ndani walipotoka nje waliwaita wanaume.

Ubeberu ni ideology, sio lazima uwe mzungu!! Unaweza kuwa mweusi tii na bado ukawa beberu unawaibia wananchi wako!! Hizo hela za kugawa gawa barabarani zinatoka mfuko gani ulioidhinishwa na Bunge? Kama hazijaidhinishwa na Bunge basi mnawaibia wananchi fedha zao!!
 
Wale mabeberu wa Barrick mbona waliwapokea wakakaa nao ndani walipotoka nje waliwaita wanaume.
Ni Rais pekee aliyewatikisa mabeberu wakapanda Ndege kutoka huko waliko hadi bongo kufanya mazungumzo.
 
Hivi mbona hakuna mgombea anayesema atatuokoaje graduates tuliokwama kuanzia pale 2015?
.
Kwani kampeni zimeanza!! Bado mkuu hawajaanza kunadi sera zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…