Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatuwataki mabeberu. Wapinzani wa aina ya Lissu na Zitto wamekuwa na watakuwa wanashirikiana na mabeberu kutuibia.
Hatuwataki mabeberu. Wapinzani wa aina ya Lissu na Zitto wamekuwa na watakuwa wanashirikiana na mabeberu kutuibia.
Nani kakwambia tunahitaji misaada yao hiyo yenye masharti ya hovyo? Hiyo ilikuwa zamani tulipokuwa nchi masikini. Sisi si nchi masikini tena. Ni middle income country sawa na Afrika kusini, Nigeria na India. Tukitaka pesa tunakopa kwenye taasisi ye yote ya kifedha kwa riba ya kibiashara maana uwezo wa kurudisha mikopo tunao.Wakati misaada yao mnaihitaji kwa kuwapigia magoti na bakuli lenu!
Wanaosemaga ivi hao ndiyo wezi hiyo ni defensive mechanism tuHatuwataki mabeberu. Wapinzani wa aina ya Lissu na Zitto wamekuwa na watakuwa wanashirikiana na mabeberu kutuibia.
Niyeyeeee 2020Hatuwataki mabeberu. Wapinzani wa aina ya Lissu na Zitto wamekuwa na watakuwa wanashirikiana na mabeberu kutuibia.
Wananchi vichwa maji sanaMnataka Tanzania iwe kama Ulaya,at the same hamuwapendi mabeberu.
Toke lini unataka kuwa kama mtu usiempenda ?
Yaani wanasiasa wa Tanzania ni ngumu kuwaelewa wanataka nini ?
Jogoo tu lakiHao washangiliaji kweli wapo hapo au kama vicheko vya kwenye TV comedy shows? Au wamelipwa?
Nadhani hauko au haukuwako Tanzania. Sisi si nchi masikini tena. Ni middle income country. Kama mtu mmoja tu ameweza kuvuna tanzanite ya Sh. 15 billion ndani ya mwezi mmoja kwa nini tuhitaji misaada! Unahitaji mind setting.sisi bado sana kuwakataa mabeberu mkuu ndio nsio wazuri but bado sana yatu bidi kuyasema moyoni tu ila kiukeli bado tunawaitaji mpaka hapo badae sana labda bahada ya miaka 40 ijayo
Tuliza mshono Dada kampeni bado hazijaanzaLisu toka afike hakuna lolote la maana alilozungumza
Ni kama vile anasubiri cha kuzungumza na waliomtuma.
Wale mabeberu wa Barrick mbona waliwapokea wakakaa nao ndani walipotoka nje waliwaita wanaume.
Ni Rais pekee aliyewatikisa mabeberu wakapanda Ndege kutoka huko waliko hadi bongo kufanya mazungumzo.Wale mabeberu wa Barrick mbona waliwapokea wakakaa nao ndani walipotoka nje waliwaita wanaume.
Kwani kampeni zimeanza!! Bado mkuu hawajaanza kunadi sera zaoHivi mbona hakuna mgombea anayesema atatuokoaje graduates tuliokwama kuanzia pale 2015?
.