Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania Ofisi za NEC

NEC ,

TANGAZENI KAMA KAMPENI ZIMEANZA.

VINGINEVYO CHUKUENI HATUA.

MSIPOKEMEA, WENGINE WAKIFANYA HIVYO,

MSITOE VITISHO .
Hili Jambo Kweli Kweli Ni Tatizo Yaani Mamlaka Iko Kimya
Watu Wanafanya Tu Dharau Na Kinyume
 
Majukumu ya rais ni yapi? Kijana wa lumumba usitumie masaburi kutetea ujinga wako.
Sasa unampinga kwa lipi? Wewe ndo unatumia masaburi kufikiri maana ametekeleza mambo makubwa you dont appreciate.
 
Au majukumu yake ni kufanya anasa na starehe tu na akina jocate, eti? Usiwe mpuuzi, hayo ni majukumu yake kwa kutumia kodi zetu.
Mpuuzi ni wewe, ulimuona wapi akiwa na Jocket? Unamtaka Joketi amekushinda unaanza kuzua uzushi? Nenda kaongee na Jocket siyo kusingia watu ujinga hapa
 
Jamaa alitaman hata NEC Waprint fomu moja kwaajili yake tu
 
tupo wengi kama unavoona wananchi wamechoka siasa uchwara za cdm apa
Wamechoka siasa gani 'akati wapinzani hawajafanya hizo siasa kwa miaka mitano sasa mmekua mkifanya wenyewe? Nilifikiri kama ni kuchoka mngewachoka hao waliofanya miaka yote hiyo,
 
Wamechoka siasa gani 'akati wapinzani hawajafanya hizo siasa kwa miaka mitano sasa mmekua mkifanya wenyewe? Nilifikiri kama ni kuchoka mngewachoka hao waliofanya miaka yote hiyo,

mpunguze kuongea sana, angalia hio video utaona hali halisi nan wanamtaka! mbowe ashakataliwa jimbon kwake kidogo apigwe mawe
 
Tanzania ya leo, tumechoka sana kuvaa mitumba wakati wakulima wa pamba hawana hata nguo za kutosha na watoto wao wanatembea makalio nje.

Afrika nzima lazima ilitizame swala hili ninalolisema mara nyingi kuhusu teknolojia ya mwafrika kujitegemea kwa kila kitu hata simu na magari baadaye.

Asante sana mheshimiwa Rais kwa kuliona hili na kuweka mipango ya kujikomboa kabisa, huu ndiyo ukombozi wa kweli, ukombozi wa kiuchumi na kiakili. Mungu Ibariki Tanzania, viongozi na watu wake.

"Tumechoka taifa hili, unalima pamba unakwenda unasafirisha malighafi..halafu wakishatengeneza nguo, wanazivaa wanakuletea mitumba wakati pamba yako, mnalitaka hilo vijana?..sisi tunataka tukilima pamba yetu, tuna-process, zile nguo tunawapelekea ikiwezekana tunazivaa kwanza"..JPM
 

Attachments

  • 1596798071594.png
    74.9 KB · Views: 2
Inawezekana yote ila itabidi tupambane na yafuatayo

1.Ukombozi wa kifikra

2.Akili tegemezi hapa n wale wote wenye mawazo ya utegemezi wadhibitiwe ili wasiwaambukize wengine utoporo ....Kama n viongozi ukipata kiongoz anaeamin kufanyiwa na wazungu bas kashaua taifa...
Tutafute namna ya kuleta teknologia kwetu kwa kushirikiana nao au kwa ujasusi wa kiuchumi...tutaloweza na liwe

3.vibaraka waliopandikizwa kutimiza sera za nje

4.Vyama vya siasa viwezeshwe ili visitegemee misaada ya nje hi ndo inafanya hata wakishinda uchaguzi waanze kutimiza sera za nchi za magharibi ikiwemo kusaini mikataba ya hasara ,kukubali mitumba n.k
 
Mpuuzi ni wewe, ulimuona wapi akiwa na Jocket? Unamtaka Joketi amekushinda unaanza kuzua uzushi? Nenda kaongee na Jocket siyo kusingia watu ujinga hapa
Nenda kamuulize yule das aliyetumbuliwa mchana kweupe
 
Sasa unampinga kwa lipi? Wewe ndo unatumia masaburi kufikiri maana ametekeleza mambo makubwa you dont appreciate.
Zaidi ya trilioni 2.5 hazijulikani zilipo tangu huyu ndugu yako alipoingia madarakani hadi sasa. Piga mahesabu akipata mitano mingine itakuaje.
 
Vipi huko mlipo kunafanana na 'uraya?'. Mmeshaanza kukopesha wazungu? Mnatoa misaada kwa waafrika wenzenu au mna visingizio vipya tena🤷
 
Vipi huko mlipo kunafanana na 'uraya?'. Mmeshaanza kukopesha wazungu? Mnatoa misaada kwa waafrika wenzenu au mna visingizio vipya tena🤷
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
 
Sijui naye sauti zitakatwa? Sijui wananchi wanyonge watasombwa kwenye malori?
Sijui leo vijembe vitasalimika?
Sijui leo mama zetu watadhalillishwa tena?
Sijui leo....!!??[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827]
😂🤣😅😆😁😄😄😃😀😀😆😆😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…