ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,938
- 6,942
We jidanganye tu, nani hapendi kumwona JPM? Kila sehem anazuiwa kuongea na wananchi. Miradi yake inamsemeaMwaka huu maroli yatafanya kazi sana kupeleka watu kwenye mikutano ya ccm kuliko wakati mwingine wowote ule