Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania Ofisi za NEC

Magufuli leo akidanganyana na wanaccm wenzake anasema anataka kuifanya Tanzania ifanane na ulaya,hivi jamaa huyu anajua nchi gani huko ulaya na je anafahamu kuwa mabeberu ndo wanaishi huko ulaya?Je mtu ambaye hawatakia mabeberu Ila Mambo yao anayataka na kuyatamani huko kwenu mnamuitaje? Je ukiwa na akili timamu unaweza kushangilia Magu akisema anataka kuifanya Tanzania kuwa Kama ulaya wakati in five good years ameongeza only USD 100.00kwenye GNI
mimi nilisikia kama uraya vile!.
 
graduate bado hujajua cha kufanya?, kama ulikwama toka 2015 unategemea utatoboa muda huu ?
Kwahiyo unajua nakula nini tangu kipindi hicho? Mbona vitu vingine siyo vya kuviingilia kama unavyotaka?

66444 8877773366433
 
Mnataka Tanzania iwe kama Ulaya,at the same hamuwapendi mabeberu.
Toke lini unataka kuwa kama mtu usiempenda ?
Yaani wanasiasa wa Tanzania ni ngumu kuwaelewa wanataka nini ?
Kwani wewe mpendwa vision yako ni kuwa kama nani?

Nadhani unajua maana ya vision. Hapa tunazungumzia maendeleo ya nchi. Na maendeleo hayana kikomo wala chama. Hizo nchi za ulaya zimeendelea sana kuliko sisi na zinaendelea kuendelea zaidi. Ndiyo maana mswahili akiona kitu kizuri husema "ni kama cha ulaya". Nchi zao zinapendeza, hivyo vision yetu ni kuyafika kiwango cha maendeleo kama hicho cha nchi za ulaya zilizofikia. Kazi ya viongozi wa kisiasa ni kuwezesha maendeleo ya nchi zao.

Mbinu walizotumia nchi za ulaya kufikia maendeleo hayo ni kupora maliasiri za Afrika na za mabara mengine duniani. Na hawajaacha kuendelea kuyapora. Huwa wanabadilisha tu mbinu za kuyapora. Walianza kwa kuya colonize. Sasa wameya neocolonize. Vitendo hivyo ndivyo tunaviita vya kibeberu. Ndiyo maana tunawaita mabeberu. Wanapora mali zetu kwa mbinubali mbali kwenda kuendeleza nchi zao. Hawaachi kufanya hivyo kwani kwao maliasiri walishazimaliza zamani. Hushirikiana na wazawa wasiokuwa wazalendo kama akina Lissu na Zitto kutekeleza uporaji huo wa mali zetu. Hushirikiana na vyama vya upinzani vizivyokuwa na uzalendo kupora mali zetu. Hivyo vision (dira) ya vyama hivi huwa ni kuwezesha mabeberu hawa waendelee kutupora. Wanaweza hata wakasababisha tupigane wenyewe kwa wenyewe ili kupata viongozi watakaoshirikiana nao kupora mali hizi. Uchaguzi mkuu kama huu kwao huwa fursa muhimu kupandikiza washirika wao. Tunabidi kuwa makini.
 
Wewe ni mbumbumbu mm
 
Mzee mbona ni Kama amepanic atulie dawa imuingie. Lissu ni Yeye
 
Ulaya waliendelea kabla hata hawaja Africa.
 
Labda Ulaya ya kilosa Morogoro!!

Hivi mzee baba anaongelea Ulaya ipi hiyo maana ninavyomjua Ulaya amefika kwa kutumia Atlas na tv kama mimi!

Hii sio vision ni ndoto ya mchana huko vijijini wananchi huota wameokota 1b then akiamu anajikuta yuko kwenye kilago chake amelala chini ya mwembe!

Heri angesema Afrika Kusini tu, Ulaya!!!
 
Nani kakwambia tunahitaji misaada yao hiyo yenye masharti ya hovyo? Hiyo ilikuwa zamani tulipokuwa nchi masikini. Sisi si nchi masikini tena. Ni middle income country sawa na Afrika kusini, Nigeria na India. Tukitaka pesa tunakopa kwenye taasisi ye yote ya kifedha kwa riba ya kibiashara maana uwezo wa kurudisha mikopo tunao.
Lazima ina matatizo ya akili. Siyo bure. Sisi bado sana, hatuna uwezo wa kushindana nao.

Wakitaka, hata hako kasimu kako kanageuka kuwa kopo. Hakawezi kupata hata signal. Wakitaka hutaweza kusafiri hata kwenda kokote maana hakuna gari hata moja linalotengenezwa na nchi zetu hizi. Hata hutu tundege twetu wakitaka hatuwezi kuruka kwenda popote, hata ndani ya nchi.

Tunatakiwa kusonga mbele tukiwa tumeshikamana na Duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni mbumbumbu mm
Yaani mpaka nimemshangaa. Tangu tupate Uhuru ni CCM pekee ndo imetawala.Sasa kina Zitto na Lissu
Tatizo wanavuta sana bangi kabla hawajaja kuongea kwenye majukwaa ya kisiasa, wengine nati huwa zimelegea vichwani
Halafu wanajiona wana akili kutuzidi. Tanzania iwe kama ulaya kwa miaka mitano ?Kama walishindwa kwa miaka 50+.
 
Ni mawazo mabovu kupinga visions za mtu. Mtu ana maono ya kuifanya Tanzania iwe kama Ulaya, na Ulaya imekuwa vile kutokana na wazee wao kujitoa mhanga, kufanya kazi kwa bidii na kwa uaminifu wakati mwingine wakijitoa maisha yao kwenda kutafuta makoloni nje ya Ulaya. Leo hii watoto na wajukuu na vitukuu vyao vinavuna matunda ya jitihada za mababu zao.

Usidhani wazungu wanawaponda viongozi wao wenye maono ya kuifanya Ulaya izidi kuwa Ulaya kwa kigezo cha demokarsia. Ndani ya Magufuli tuna kiongozi aliyerejesha pride ya mtanzania. Watanzania kwa fikra za kujiamini, kufanya kazi kwa malengo, na kwa uaminifu wa kitaifa na uzalendo tunaweza kujiletea maendeleo na nchi inaweza kupiga hatua zenye mwelekeo sahihi wa maendeleo.

Nipe kiongozi kama Magufuli anayeamini kuwa Tanzania inaweza kuwa kama Ulaya, kuliko unipe kiongozi mwingine yeyote mwenye fikra za kitumwa kuendekeza ukoloni mamboleo.
Mkuu maono bila matumizi ya akili and good strategies ni Sasa tu na ndoto ya mchana au hisia za vijana wakishapata Cha Arusha,yaani mtu anayetekekeza budget zake zote kwa wastani wa below 50%unawezaje kusema maneno yake ni maono badala ya kelele?mtu anayeua makert systems za mazao yanayolipatia taifa pesa,mtu anayeua sector binafsi ambayo ndo engine ya uchumi unaanzaje kusema maneno yake ni maono?
 
Yaani mpaka nimemshangaa. Tangu tupate Uhuru ni CCM pekee ndo imetawala.Sasa kina Zitto na Lissu

Halafu wanajiona wana akili kutuzidi. Tanzania iwe kama ulaya kwa miaka mitano ?Kama walishindwa kwa miaka 50+.
Kwa kauli hiyo Magufuli ametudharau sana.
Ile kauli ya tz ya viwanda yenyewe imekufa kifo cha mende halafu leo mtu anakuja na blah blah nyingine
 
Bila kubebwa hawezi toboa uzuri mbebaji Mungu alimpenda zaidi.
Ushindi ni kati ya nguvu na akili kuusaka ushindi
 
Back
Top Bottom