Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania Ofisi za NEC

Na mishahara ya Umma mwezi May ilikwama Serikali ikabidi iwapigie magoti Barrick...

Hakika Magufuli ni mnafiki sijapata ona duniani !!
ni kama nyerere anawananga mabeberu mchana usiku anawaomba msaada wa unga wa yanga na maziwa kuokoa njaa
 
Mitano ya nduli makufuli inatosha, utawala wake wa mkono wa chuma sasa basi.
Lissu atakuwa zaidi yake. Kwanza anachenga za kisheria halafu aliwahi kusema tanzania inahitaji rais mkali. Magufuri ni mkali anatufaa akamilishe
1. Kuhamia dodoma
2. Sgr ifike rwanda na burundi
3. Umeme wa stigler
4. Corona-machadema yangekuwa yamefunga nchi tunaishi kama digidigi lkn mpaka yenyewe yamefanya mikutano bila barakoa
5. Daraja la busisi
6. Barabara ya kasulu burundi na kasulu kibondo
7. Aimarishe ndege
8. Uwanja wa dodoma
9. Atunyoshee watendaji wabovu
10. Atunyoshee akina Lijualikali, Silinde, Mwambe na wasaliti wengine

Ila safari hii tutamwomba aruhusu shughuli za kisiasa
 
ukali bila tija ni sawa na mbwa abwekae kurudi ndani.
Aseme ameboresha vipi maisha ya watu ili apewe tena
 
Hakuna chama chochote chenye hatimiliki ya kuongoza vyote vina haki sawa kikishindwa anapewa mwingine hivo hivo
 
Tanzania ina mabilionea wengi kuliko nchi zote za EA

Tanzania tumeingia pato la kati, usd 1080

Tanzania hakuna anayelala njaaa

Tanzania maisha hayajasimama unlike hao majirani zetu.

Tanzania tuna uhuru japo kidogo wa kusema. Nenda kajaribu Rwanda
 
Labda kwa wanufaika na kula kulala kama nyie
 
Mkuu maono bila matumizi ya akili and good strategies ni Sasa tu na ndoto ya mchana au hisia za vijana wakishapata Cha Arusha,yaani mtu anayetekekeza budget zake zote kwa wastani wa below 50%unawezaje kusema maneno yake ni maono badala ya kelele?mtu anayeua makert systems za mazao yanayolipatia taifa pesa,mtu anayeua sector binafsi ambayo ndo engine ya uchumi unaanzaje kusema maneno yake ni maono?
Si sera ya urais wa Magufuli kuua sekta binafsi. Alichokifanya mheshimiwa kukaza mifumo ya kiserikali na matokeo yake sekta binafsi (baadhi) zikajikuta zimeathirika. Hasa zile zilizokuwa zinategemea ulegevu wa kimifumo -- mfano vikao vya kiofisi kufanyika kwenye kumbi za hoteli.

Sekta binafsi zitahitaji kuwa bunifu na shindani ili kusurvive, na hilo linalohitajika. Hatutaki private sector zinazotegemea udhaifu wa serikali. Mfano style ya kuua reli makusudi ili malori yafanye kazi.
 
Kushindwa tu kujua serikali ndo mnunuzi mkuu wa goods and services itoshe kukuonesha kiwango za uelewa na akili alizonazo.leo biashara zimeyumba kutokana na corona,export za mazao ya kilimo zimekufa kabisa,je Kuna mpango wowote wa kuziboost tena? Huyu hajui alifanyalo ndo maana anahangaika na mitaro,stendi,taa za barabarani and the like
 
Mkuu maono bila matumizi ya akili and good strategies ni Sasa tu na ndoto ya mchana au hisia za vijana wakishapata Cha Arusha,yaani mtu anayetekekeza budget zake zote kwa wastani wa below 50%unawezaje kusema maneno yake ni maono badala ya kelele?mtu anayeua makert systems za mazao yanayolipatia taifa pesa,mtu anayeua sector binafsi ambayo ndo engine ya uchumi unaanzaje kusema maneno yake ni maono?
Mbona anachofanya kila mtu anakiona?
 
Hakuna chama chochote chenye hatimiliki ya kuongoza vyote vina haki sawa kikishindwa anapewa mwingine hivo hivo
Utawala wa JPM hata wakenya wamepunguza chokochoko zao, wakibip tunapiga tu. Mitano mingine tukuze pato hadi 1,300usd
 
Back
Top Bottom