amekwama kwa sababu ya sera mbovu ya kuabudu mtugraduate bado hujajua cha kufanya?, kama ulikwama toka 2015 unategemea utatoboa muda huu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
amekwama kwa sababu ya sera mbovu ya kuabudu mtugraduate bado hujajua cha kufanya?, kama ulikwama toka 2015 unategemea utatoboa muda huu ?
ni kama nyerere anawananga mabeberu mchana usiku anawaomba msaada wa unga wa yanga na maziwa kuokoa njaaNa mishahara ya Umma mwezi May ilikwama Serikali ikabidi iwapigie magoti Barrick...
Hakika Magufuli ni mnafiki sijapata ona duniani !!
Kwani kampein zimeanza??Lisu toka afike hakuna lolote la maana alilozungumza
Ni kama vile anasubiri cha kuzungumza na waliomtuma.
Lissu atakuwa zaidi yake. Kwanza anachenga za kisheria halafu aliwahi kusema tanzania inahitaji rais mkali. Magufuri ni mkali anatufaa akamilisheMitano ya nduli makufuli inatosha, utawala wake wa mkono wa chuma sasa basi.
Lisu hajaanza? Membe hajaanza?Hivi kampeni zimeanza? Mbona hii ni kampeni kabisa? Ahadi kede kede na maombi ya kura! Sheria inasemaje kuhusu hili?
ukali bila tija ni sawa na mbwa abwekae kurudi ndani.Lissu atakuwa zaidi yake. Kwanza anachenga za kisheria halafu aliwahi kusema tanzania inahitaji rais mkali. Magufuri ni mkali anatufaa akamilishe
1. Kuhamia dodoma
2. Sgr ifike rwanda na burundi
3. Umeme wa stigler
4. Corona-machadema yangekuwa yamefunga nchi tunaishi kama digidigi lkn mpaka yenyewe yamefanya mikutano bila barakoa
5. Daraja la busisi
6. Barabara ya kasulu burundi na kasulu kibondo
7. Aimarishe ndege
8. Uwanja wa dodoma
9. Atunyoshee watendaji wabovu
10. Atunyoshee akina Lijualikali, Silinde, Mwambe na wasaliti wengine
Ila safari hii tutamwomba aruhusu shughuli za kisiasa
Amesomesha watu namba sasa ni zamu yake kuisoma wajumbe ndio sisi.1.hali ngumu ya kiuchumi
2.haki za binadamu
3.tatizo lilikithiri la ajira
4.watumishi kukosa nyongeza ya mshahara
Tanzania ina mabilionea wengi kuliko nchi zote za EAukali bila tija ni sawa na mbwa abwekae kurudi ndani.
Aseme ameboresha vipi maisha ya watu ili apewe tena
Labda kwa wanufaika na kula kulala kama nyieTanzania ina mabilionea wengi kuliko nchi zote za EA
Tanzania tumeingia pato la kati, usd 1080
Tanzania hakuna anayelala njaaa
Tanzania maisha hayajasimama unlike hao majirani zetu.
Tanzania tuna uhuru japo kidogo wa kusema. Nenda kajaribu Rwanda
Si sera ya urais wa Magufuli kuua sekta binafsi. Alichokifanya mheshimiwa kukaza mifumo ya kiserikali na matokeo yake sekta binafsi (baadhi) zikajikuta zimeathirika. Hasa zile zilizokuwa zinategemea ulegevu wa kimifumo -- mfano vikao vya kiofisi kufanyika kwenye kumbi za hoteli.Mkuu maono bila matumizi ya akili and good strategies ni Sasa tu na ndoto ya mchana au hisia za vijana wakishapata Cha Arusha,yaani mtu anayetekekeza budget zake zote kwa wastani wa below 50%unawezaje kusema maneno yake ni maono badala ya kelele?mtu anayeua makert systems za mazao yanayolipatia taifa pesa,mtu anayeua sector binafsi ambayo ndo engine ya uchumi unaanzaje kusema maneno yake ni maono?
Kushindwa tu kujua serikali ndo mnunuzi mkuu wa goods and services itoshe kukuonesha kiwango za uelewa na akili alizonazo.leo biashara zimeyumba kutokana na corona,export za mazao ya kilimo zimekufa kabisa,je Kuna mpango wowote wa kuziboost tena? Huyu hajui alifanyalo ndo maana anahangaika na mitaro,stendi,taa za barabarani and the likeSi sera ya urais wa Magufuli kuua sekta binafsi. Alichokifanya mheshimiwa kukaza mifumo ya kiserikali na matokeo yake sekta binafsi (baadhi) zikajikuta zimeathirika. Hasa zile zilizokuwa zinategemea ulegevu wa kimifumo -- mfano vikao vya kiofisi kufanyika kwenye kumbi za hoteli.
Sekta binafsi zitahitaji kuwa bunifu na shindani ili kusurvive, na hilo linalohitajika. Hatutaki private sector zinazotegemea udhaifu wa serikali. Mfano style ya kuua reli makusudi ili malori yafanye kazi.
Sisi wananchi tunampenda wewe robot la upinzania mtandaoni ndio humpendiKwa kweli, kama kuna rais anachukiwa na kada nyingi ni huyu. Namshauri akahutubie ndege, flyover, sgr na meli.
Mbona anachofanya kila mtu anakiona?Mkuu maono bila matumizi ya akili and good strategies ni Sasa tu na ndoto ya mchana au hisia za vijana wakishapata Cha Arusha,yaani mtu anayetekekeza budget zake zote kwa wastani wa below 50%unawezaje kusema maneno yake ni maono badala ya kelele?mtu anayeua makert systems za mazao yanayolipatia taifa pesa,mtu anayeua sector binafsi ambayo ndo engine ya uchumi unaanzaje kusema maneno yake ni maono?
Na mm ni mwananchi na sio mpinzani lakini simfagilii ametunyanyasa sana wapiga kuraSisi wananchi tunampenda wewe robot la upinzania mtandaoni ndio humpendi
Mwaka huu maroli yatafanya kazi sana kupeleka watu kwenye mikutano ya ccm kuliko wakati mwingine wowote uleSisi wananchi tunampenda wewe robot la upinzania mtandaoni ndio humpendi
Utawala wa JPM hata wakenya wamepunguza chokochoko zao, wakibip tunapiga tu. Mitano mingine tukuze pato hadi 1,300usdHakuna chama chochote chenye hatimiliki ya kuongoza vyote vina haki sawa kikishindwa anapewa mwingine hivo hivo
We shida yako nini?Labda kwa wanufaika na kula kulala kama nyie
ulishapumbazwa mkuuMwaka huu maroli yatafanya kazi sana kupeleka watu kwenye mikutano ya ccm kuliko wakati mwingine wowote ule
Lisu hajaanza? Membe hajaanza?