Sijui naye sauti zitakatwa? Sijui wananchi wanyonge watasombwa kwenye malori?
Sijui leo vijembe vitasalimika?
Sijui leo mama zetu watadhalillishwa tena?
Sijui leo....!!??[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
I can see.....Hapana yy Ana haki ya kusema lolote kwa mtu yeyote so hawawez kukata
Hata asipotekeleza ahadi zake utamfanya nini?Atakavyoongea aongelee jinsi ya kuwakomboa wananchi na umasikini. Jinsi ya kuboresha maslahi ya watumishi, mikopo vyuo vikuu, ajira nk. Miundo mbinu tupa kulee....aje na hoja ya maisha ya mtanzania anayekula mlo mmoja
Ule ulikuwa unafikiSi alisema hii kazi ni ngumu sana ilibidi apumzike
Mkuuu hapa umetoa point moja makini sanaAchukue tu ila kama atasoma hii post yangu atambue kuwa sisi watumishi wa umma hatumpendi.
Wafanyabiashara nao hawampendi,
Wakulima wachache about 30 ndio wanampenda.
Kwahiyo akishinda basi ajue kuwa anawaongoza watu wasiompenda.
Anaongea tu, anajua kilicho moyoni mwa Jiwe? Hata Idd Amin alisema ataitisha uchaguzi ndaniya mwaka mmoja. Alijitangaza Rais wa Maisha na vyeo vyote vya duniani na kuzimu. Akaondolewa na Jeshi vinginevyo mpaka leo angelikuwepo. Museveni, kagame < Mugabe and many more others walitoa kauli kama hizo !Akihutubia umati wa wanachama na wajumbe wa CCCM Dr, Bashiru Ally ameweka wazi kuwa Raisi Magufuri siyo king'ang'anizi kwasababu huu ni muhura wake wa mwisho kama mwenyeiti wa chama na raisi wa Jamhuri iwapo akishinda maana anafuata nyayo za Nyerere hawezi kuwa raisi wala mwenyekiti wa chama wa kudumu.
Nadhani hii ni messege kwa wale wote waliokuwa wanampango wa kutaka kubadilisha katiba kumwondolea ukomo.
Sidhani kama anaweza kuwa na guts za kuongea hivyo kama mwenyekiti wake hajazungumz naye, maana watu wanaongea kile kinachomfurahisha mwenyekitiAnaongea tu, anajua kilicho moyoni mwa Jiwe? Hata Idd Amin alisema ataitisha uchaguzi ndaniya mwaka mmoja. Alijitangaza Rais wa Maisha na vyeo vyote vya duniani na kuzimu. Akaondolewa na Jeshi vinginevyo mpaka leo angelikuwepo. Museveni, kagame < Mugabe and many more others walitoa kauli kama hizo !