Katiba ushaambiwa inabadilishwa siyo msahafu, toka nisikie hiyo kauli ndipo nilipogundua maamuzi ni kwa hisani ya kiongozi aliyeko madarakani na wala siyo katiba. Sasa hapo utagundua wewe unayeamini katiba ndiye hovyo zaidi yangu ninayeamini kauli ya kiongoziYaani unaamini kauli ya Bashiru kuliko kifungu cha katiba, hovyo kabisa mlamu!!
Mzee Mwinyi aliongea naye? Yule aliyeanguka kura za maoni aliyependekeza bungeni (nani???) aliongea naye?, Wanaomuita Yesu wameongea naye? Naona hujaielewa nchi hii ya kishenzi!Sidhani kama anaweza kuwa na guts za kuongea hivyo kama mwenyekiti wake hajazungumz naye, maana watu wanaongea kile kinachomfurahisha mwenyekiti
Tusije kulaumiana bwashee!Chadema hatujawasha bado maana juzi ni majaribio tu ya makombora yetu. Ni mwendo wa kutikisa nchi
Huna lolote wewe!Tusije kulaumiana bwashee!
Hili mbona liko wazivIjiwe vyote SASA TANZANIA vinahubiri LISSU ...Vijana WANAMATUMAINI NA LISSU
Bwashee mtambo mkuu uitwao UVCCM umewashwa rasmi......jipendekeze uuone muziki wake!Huna lolote wewe!
Bashiru anasema mawazo ya mwenyekiti wake, ikiwa na maana mwenyekiti wake angetaka kubaki madarakani hiyo hoja ya kubadilisha katiba ingeenda bungeni kama Ndungai alivyoahidi, na katiba ingebadirishwa maana piga ua garagaza wabunge wa CCM watakwua ndiyo wengi. Kwa muktadha hiyo kauli yake ina nguvu unless kwa mtu ambaye yuko kwenye denial
Bwashee usikariri!vIjiwe vyote SASA TANZANIA vinahubiri LISSU ...Vijana WANAMATUMAINI NA LISSU
Comments reservedNgoja tuone.
Mtendaji mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally ametangaza kuwashwa rasmi kwa mitambo ya maangamizi kuelekea uchaguzi mkuu.
Bashiru amesema heri yake Mrema na Cheyo kwa kuzisoma alama za nyakati.
Maendeleo hayana vyama!
Hao wote wanamsifu ndiyo maana hawaongei naye, lakini inapokuja kwenye kutoa kauli ambayo inaweza isimpendeze lazima uongee naye. Ebu kaimbe wimbo wa taifa uweke jina lae uone kama utakamatwa, ila jaribu uimbe wimbo huo huo ukimkandia utaitwa fasta. So kwa hili Bashiru asingeweza kuliongea bila yeye kuwa kakubariana naye maana siyo jambo la kufurahisha unless kalikubari.Mzee Mwinyi aliongea naye? Yule aliyeanguka kura za maoni aliyependekeza bungeni (nani???) aliongea naye?, Wanaomuita Yesu wameongea naye? Naona hujaielewa nchi hii ya kishenzi!