Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania Ofisi za NEC

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania Ofisi za NEC

Yaani unaamini kauli ya Bashiru kuliko kifungu cha katiba, hovyo kabisa mlamu!!
Katiba ushaambiwa inabadilishwa siyo msahafu, toka nisikie hiyo kauli ndipo nilipogundua maamuzi ni kwa hisani ya kiongozi aliyeko madarakani na wala siyo katiba. Sasa hapo utagundua wewe unayeamini katiba ndiye hovyo zaidi yangu ninayeamini kauli ya kiongozi
 
Sidhani kama anaweza kuwa na guts za kuongea hivyo kama mwenyekiti wake hajazungumz naye, maana watu wanaongea kile kinachomfurahisha mwenyekiti
Mzee Mwinyi aliongea naye? Yule aliyeanguka kura za maoni aliyependekeza bungeni (nani???) aliongea naye?, Wanaomuita Yesu wameongea naye? Naona hujaielewa nchi hii ya kishenzi!
 
Rais Magufuli ni mbeba maono kama wanavyomwita hivo tusimpoteze kabisa
 
Itakuwaje 2025 kama reli haijafika bado Mwanza?
 
Bashiru anasema mawazo ya mwenyekiti wake, ikiwa na maana mwenyekiti wake angetaka kubaki madarakani hiyo hoja ya kubadilisha katiba ingeenda bungeni kama Ndungai alivyoahidi, na katiba ingebadirishwa maana piga ua garagaza wabunge wa CCM watakwua ndiyo wengi. Kwa muktadha hiyo kauli yake ina nguvu unless kwa mtu ambaye yuko kwenye denial
 
Ngoja tuone.

Mtendaji mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally ametangaza kuwashwa rasmi kwa mitambo ya maangamizi kuelekea uchaguzi mkuu.

Bashiru amesema heri yake Mrema na Cheyo kwa kuzisoma alama za nyakati.

Maendeleo hayana vyama!
Comments reserved
 
Mzee Mwinyi aliongea naye? Yule aliyeanguka kura za maoni aliyependekeza bungeni (nani???) aliongea naye?, Wanaomuita Yesu wameongea naye? Naona hujaielewa nchi hii ya kishenzi!
Hao wote wanamsifu ndiyo maana hawaongei naye, lakini inapokuja kwenye kutoa kauli ambayo inaweza isimpendeze lazima uongee naye. Ebu kaimbe wimbo wa taifa uweke jina lae uone kama utakamatwa, ila jaribu uimbe wimbo huo huo ukimkandia utaitwa fasta. So kwa hili Bashiru asingeweza kuliongea bila yeye kuwa kakubariana naye maana siyo jambo la kufurahisha unless kalikubari.
 
CCM isitumie nguvu saana uchaguzi huu,kwani mpaka sasa hajapatikana mtu ama chama cha angalau kuitikisa CCM.
 
Back
Top Bottom