johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hao wapo kimaslahi tu. Ila kama walivyofanya wajumbe ndio watakachomfanyia na hata amini. Kwanza amekata bumu kwa hiyo ukiona wamejaa usitishike. Mwaka huu watu watapiga kazi ya kijumbe.Yaani naangalia wananfunzi wanashangilia,wakati wakimaliza shule ajira hakuna. Vijana hawa jamani wanajielewa kweli ????Mimi ningekuwa mwananfunzi chuo nisingeenda kwenye huu ujinga.
Back to the thread. Usidanganyike hapo ni mbinu za kutaka kura tu.Akishinda ndo tutajua mbeleni. Tuombe uzima.
Unajuaje wabunge wengi watatoka CCM? Usikariri ya miaka ya nyumaRais Magufuli amesema si kwamba anampigia kampeni mh Ndugai bali huyo ndio mtu pekee anayestahili kuongoza muhimili huo.
Hii yaweza kuwa siyo habari njema kwa Ufipa.
Maendeleo hayana vyama!
wazime za:Ngoja tuone.
Mtendaji mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally ametangaza kuwashwa rasmi kwa mitambo ya maangamizi kuelekea uchaguzi mkuu.
Bashiru amesema heri yake Mrema na Cheyo kwa kuzisoma alama za nyakati.
Maendeleo hayana vyama!
Angesema muhula aliomaliza ndiyo ulikuwa muhula wake wa mwisho tungemwelewa.Akihutubia umati wa wanachama na wajumbe wa CCCM Dr, Bashiru Ally ameweka wazi kuwa Raisi Magufuli siyo king'ang'anizi kwa sababu huu ni muhula wake wa mwisho kama mwenyeiti wa chama na Rais wa Jamhuri iwapo akishinda maana anafuata nyayo za Nyerere hawezi kuwa Rais wala mwenyekiti wa chama wa kudumu.
Nadhani hii ni messege kwa wale wote waliokuwa wana mpango wa kutaka kubadilisha katiba kumuondolea ukomo.
Au wamepewa book tano tano nini ?Hao wapo kimaslahi tu. Ila kama walivyofanya wajumbe ndio watakachomfanyia na hata amini. Kwanza amekata bumu kwa hiyo ukiona wamejaa usitishike. Mwaka huu watu watapiga kazi ya kijumbe.
tutaona hilo baada ya uchaguzi.Angesema muhula aliomaliza ndiyo ulikuwa muhula wake wa mwisho.
Kuna tofauti ndogo sana kati ya UVCCM ya sasa na lililokuwa kundi la INTERAHAMWE kutokana na kauli zao za kihalifu hata na matendo yao ya gizani.Bwashee mtambo mkuu uitwao UVCCM umewashwa rasmi......jipendekeze uuone muziki wake!
Na tunamgaragaza vibaya sanaTukumbuke kua huu ni muhura wa mwisho kwake kugombea sio kuwa Rais......