Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania Ofisi za NEC

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania Ofisi za NEC

Rais Magufuli amesema si kwamba anampigia kampeni mh. Ndugai bali huyo ndio mtu pekee anayestahili kuongoza muhimili huo.

Hii yaweza kuwa siyo habari njema kwa Ufipa.

Maendeleo hayana vyama!
 
Ndio alivyosema, na ndio uhalisia huo japo wadau hawataki kuamini
 
Yaani naangalia wananfunzi wanashangilia,wakati wakimaliza shule ajira hakuna. Vijana hawa jamani wanajielewa kweli ????Mimi ningekuwa mwananfunzi chuo nisingeenda kwenye huu ujinga.
Back to the thread. Usidanganyike hapo ni mbinu za kutaka kura tu.Akishinda ndo tutajua mbeleni. Tuombe uzima.
Hao wapo kimaslahi tu. Ila kama walivyofanya wajumbe ndio watakachomfanyia na hata amini. Kwanza amekata bumu kwa hiyo ukiona wamejaa usitishike. Mwaka huu watu watapiga kazi ya kijumbe.
 
Rais Magufuli amesema si kwamba anampigia kampeni mh Ndugai bali huyo ndio mtu pekee anayestahili kuongoza muhimili huo.

Hii yaweza kuwa siyo habari njema kwa Ufipa.

Maendeleo hayana vyama!
Unajuaje wabunge wengi watatoka CCM? Usikariri ya miaka ya nyuma
 
Ila Magufuli aisee
Kwamba amejenga hospitali hadi walevi walilala humo[emoji23][emoji23]
 
Ngoja tuone.

Mtendaji mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally ametangaza kuwashwa rasmi kwa mitambo ya maangamizi kuelekea uchaguzi mkuu.

Bashiru amesema heri yake Mrema na Cheyo kwa kuzisoma alama za nyakati.

Maendeleo hayana vyama!
wazime za:
tume a uchaguzi
mapolisi
usalama
ma-DED
wawashe ya ccm tu kama mchana kweupe hawatawasha tochi kuwatafuta wapinzani na ikifika saa 8 alasiri ccm watakuwa wameshaaga!
 
Akihutubia umati wa wanachama na wajumbe wa CCCM Dr, Bashiru Ally ameweka wazi kuwa Raisi Magufuli siyo king'ang'anizi kwa sababu huu ni muhula wake wa mwisho kama mwenyeiti wa chama na Rais wa Jamhuri iwapo akishinda maana anafuata nyayo za Nyerere hawezi kuwa Rais wala mwenyekiti wa chama wa kudumu.

Nadhani hii ni messege kwa wale wote waliokuwa wana mpango wa kutaka kubadilisha katiba kumuondolea ukomo.
Angesema muhula aliomaliza ndiyo ulikuwa muhula wake wa mwisho tungemwelewa.
 
CCM aidha wamesusa au wamepoteana hebu ona hii post mpaka sasa ina replies ngapi

Jr[emoji769]
 
Hao wapo kimaslahi tu. Ila kama walivyofanya wajumbe ndio watakachomfanyia na hata amini. Kwanza amekata bumu kwa hiyo ukiona wamejaa usitishike. Mwaka huu watu watapiga kazi ya kijumbe.
Au wamepewa book tano tano nini ?
 
Kwanini hili jambo linasemwa sana na wahusika wenyewe?
Kwanini hofu ya kutaka kubadili katiba inawatetesa wao wenyewe?
 
Anhaa ili aendelee kumtumia kama alivyokuwa ana mtumia !?
 
Bwashee mtambo mkuu uitwao UVCCM umewashwa rasmi......jipendekeze uuone muziki wake!
Kuna tofauti ndogo sana kati ya UVCCM ya sasa na lililokuwa kundi la INTERAHAMWE kutokana na kauli zao za kihalifu hata na matendo yao ya gizani.
 
Back
Top Bottom