My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,592
- 11,810
Kwan we ndio unaechakalika peke yako tanzania nzima, Mbona unaiona hiy hali wewe tuuThus nasema we kula kulala au upo chuoni,mtu yeyeto anaechakarika ameiona Hali halisi tofauti na propaganda.
Kama wwe ni mnufaika wa upigaji dili wa awamu hii ni wachache lkn wengi wanalia na ugumu wa biashara zote unazoziona
Mji wa Moshi waweza linganisha na mji wa DODOMA kimaendeleo? mji wa DODOMA haujawahi kuwa chini ya upinzaniBrother Usihamishe Magoli, Concern yangu ni kwenye Majimbo niliyokwambia hapo; Maana Ukisema Mwanza tayari ilishawahi kuchukuliwa na Upinzani japo mara moja, lakini pia Arusha Ilishawahi kuwa chini ya Upinzani.
Hayo Majimbo niliyokutajia pamoja na kuwa CCM Kabla na Baada ya Mfumo wa Vyama Vingi Compared to Moshi; Kama Ishu ni CCM mwanzo Mwisho je hayo majimbo Kulikoni compared to Moshi.???
Ukisema Mwanza na Arusha ni tofauti na concern niliyoileta hapa.
Chama cha Mbowe, chama cha mfukoni kwisha habari yenu.KILA anapokwenda nyomi lipo...tatizo siyo nyomi,tatizo ilo nyomi limetokea wapi?same alijaza Sana WATU,lakini wengi waliletwa toka vijijin ndan ya malori kma ng'ombe..JITAFAKARINI SANA,MAANA MNAMDANGANYA MCHANA KWEUPE...NAYE HAJUI KINACHOENDELEA .AU ANAAMUA KUKAZA SHINGO TU
Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Hivi Chadema imekatazwa isiwabebe wasanii?!Mshauri awe anaenda sehemu zote bila wasanii apate uhalisia wa kukubalika kwake, kutumia wasanii si hata Hashim Rungwe mzee wa wali angepata nyomi.
Pole Sana mkuu[emoji16][emoji16]Chama cha Mbowe, chama cha mfukoni kwisha habari yenu.
Arusha na manyara zilijijenga chini ya mtu mmoja Lowasa na Dk Slaa pia.Tarehe 28 october CCM inaenda shinda kwa kishindoChadema hapo Kilimanjaro ilijijenga kwa mtu mmoja mzee Ndesa(R.I.P).Sasa kwa kishindo cha Magufuli jana, ngome mzee wa faru John ipo ndembendembe.Oct 28,ni kuvuna kura tu. Mungu ibariki CCM, Mungu ibariki Tanzania.
Ndio walitolewa vijijini kwenda kumsikiliza Raisi Maana asingepita kule Vijijini,KILA anapokwenda nyomi lipo...tatizo siyo nyomi,tatizo Hilo nyomi limetokea wapi?same alijaza Sana WATU,lakini wengi waliletwa toka vijijin ndan ya malori kma ng'ombe..JITAFAKARINI SANA,MAANA MNAMDANGANYA MCHANA KWEUPE...NAYE HAJUI KINACHOENDELEA .AU ANAAMUA KUKAZA SHINGO TU
Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Kwa Sababu Mkuu wa Nchi alikua na mkutano na wananchi wa maeneo yale, unasemaje ?Shule zilifungwa jana kilimanjaro unajua kwa nini?
Kwan we ndio unaechakalika peke yako tanzania nzima, Mbona unaiona hiy hali wewe tuu
Pesa ipo Mzee
Watu wananunua magari kila leo, Watu wanajaza mabaa kila kona, nk nk
Kwa kukushauri tuu
Endelea kukaa hapo Ukilalamika, kwanzia asubuhi mpk jioni mpk pale utakapo jiona you are totally wrong
Ukisomesha watu namba hizi falsafa za kikomunisti lengo ni kuwafanya watu wawe masikini ili watawaliwe,maana Hakuna mkomunisti au mjamaa mwenye confidence ya kuongoza wasomi na matajiri ni lzm awafanye wawe masikini.Elimu bure sio maendeleo ya watu ??
Tuendelee kushikiria mabango pesa hakuna na kulalamila, itatusaidia sana
Pole MKUU....[emoji16][emoji16]Ndio walitolewa vijijini kwenda kumsikiliza Raisi Maana asingepita kule Vijijini,
Alafu Kwan wewe ulitaka watembea kwa miguu ??
Brother Dodoma ni Jiji hivyo bado sio Valid Sample, Lakini pia hayo mambo yameanza dodma heavily miaka ya 2010; Unataka kusema kwamba baada ya Kupeleka Moshi in 90's wamekaa, na Kuamua Kupeleka Dodoma Juzijuzi? Moshi sio Jiji, ni wilaya tuu.Mji wa Moshi waweza linganisha na mji wa DODOMA kimaendeleo? mji wa DODOMA haujawahi kuwa chini ya upinzani
Kama unaona ni madili Nenda na wewe kapige dili Mzee,Ni wachache wapiga dili au waliokwenye chain ya jiwe and company.
Wanufaika wachache Kama nyie amkosi kwenye tawala zozote dhalimu
Ya nn kuwanyima haki wanafunzi ya kukosa vipindi Hali si wapiga kura.toka lini mgombea akawa mkuu wa nchiKwa Sababu Mkuu wa Nchi alikua na mkutano na wananchi wa maeneo yale, unasemaje ?
Nipe connection ya kupiga dili hata ya kuandaa kongamano la kusifia tu ili nipunguze makali mkuuKama unaona ni madili Nenda na wewe kapige dili Mzee,
Sitaacha kukushauri Malalamiko + Negative Mind hayajawah kuwa na Msaada katika mchakato wa maendele yoyote individualy mpk national level
Jitahidi kulalamika Sana Kuwaza mabaya sana itakusaidia
Nafiki kweli hili naomba siku moja MUNGU aliadhibu.
Leo Arusha ofisi za Serikali hakuna kazi magari ya Serikali yanawekwa mafuta kwenda kiwanjani kuhudhuria shughuli za Chama, tutaacha kweli kushindia mizizi?.Kwa Sababu Mkuu wa Nchi alikua na mkutano na wananchi wa maeneo yale, unasemaje ?