Coaster2015
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 2,607
- 2,730
Laana ya Uonevu inamtafuna, na tutasikia mengi sana yasiyoeleweka kutoka kinywa chakeHuyu Baba la Baba kachanganyikiwa.
Juzi jumapili kawafokea watu kwamba wakichagua upinzani watakoma. Hadi kabadilisha lugha ili wamuelewe.
Leo ana sema tusibaguane. Huyu mzee ana ndimi ngapi? Ni mtu wa kumuogopa sana
Upendo Upendo Upendo nyenyenyeeeee bure kabisa na weweShida gani?
Mtu anahimiza Upendo wewe unasema ana shida?!!......Bure kabisa wewe!
Dr wake afanye consultation haraka sana kwa NeurologistDkt. Magufuli asubuhi hii amefanya mkutano wa kampeni katika jimbo la Misungwi jijini Mwanza na kuwataka Watanzania tupendane.
Dkt. Magufuli amewasihi wananchi kutobaguana kwa misingi ya chama cha siasa, dini au kabila kwa mustakabali mwema wa taifa letu.
Kadhalika Dkt. Magufuli amewataka wanamisungwi kuchagua Rais, mbunge na diwani kutoka CCM ili waendeleze maendeleo yaliyo katika ilani ya uchaguzi.
Source: Channel Ten
Maendeleo hayana vyama!
==============
Rais Magufuli leo Jumanne anaendelea na kampeni za kuwania Urais na kuwanadi Wabunge na Madiwani wa chama anachokiongoza. Amepita Misungwi jimbo lilikuwa linaongozwa na waziri wa zamani wa mambo ya ndani, Charles Kitwanga ambalo kwa sasa CCM ilimpitisha ndugu Mnyeti, Hii ni sehemu ya hotuba yake fupi.
DKT MAGUFULI: Ninachowaambia mimi niko nyumbani, ninawashukuru sana watu wa Misungwi mmepitisha mbunge bila kupingwa, mmepitisha madiwani bila kupingwa, hongereni sana. Nimebaki mimi tu kwa sababu hamnipendi, hamjanipitisha bila kupingwa, wangapi mtanipitisha bila Kupingwa? Asanteni sana.
Nataka nieleze ukweli, mlikuwa na mbunge hapa, Kitwanga alikuwa ananisumbua sana baadhi ya miradi. Ni lazima tujue historia ilikotoka, mahali tulipo na tunapoenda na Mnyeti atakuwa Mbunge.
Katika mipango ambayo imefanyika hapa ni mingi, hata hili barabara halikuwepo, katika kipindi cha miaka mitano tulilifanya na alienisumbua ni Kitwanga, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Nataka niyazungumze haya, bahati nzuri katika kazi zetu huwa sio za maisha. Palikuwa na Nyerere akamaliza muda wake, akaja Mwinyi akamaliza miaka yake kumi, akaja Mkapa akamaliza miaka yake kumi, akaja Kikwete miaka yake kumi na mimi mkitipisha hapa imebaki miaka mitano tu watakuja na wengine.
Hapa tuna mradi mkubwa wa maji ambao utagharimu bilioni 12 utakaonufaisha watu zaidi ya sitini na nne elfu.
Tumeanza vizuri, naomba mtuamini, naomba muendelee kuiamini CCM na hasa mnaona kazi nyingine ambayo inafanyika hapo Kigongo-Busisi, tunatengeneza daraja ambalo halijawahi kuonekana Tanzania na Afrika mashariki, daraja la kilomita 3.2.
Sasa msiache mkanichagua, yakaja mengine yakafuta haya mamiradi kwa sababu gharama ya daraja hili ni bilioni 699, bilioni 700 tunaziweka hapa. Ninachowaomba ndugu zangu wa Usagara na Misungwi endeleeni kushikamana, muwe wamoja. Haya mambo ya siasa yaliyokuwa yanawatenganisha myaache na bahati nzuri ndoa ya Mnyeti, alieiandaa ni Kitwanga.
MNYETI: Mheshimiwa Rais ni kweli kama ulivyosema, ndoa yangu aliiandaa mzee Kitwanga, namheshimu sana, nampenda sana siku zote.
MAGUFULI: Nampongeza Mnyeti kwa kushinda, nawapongeza waheshimiwa madiwani. Ninafahamu kuna appeal zitatokea tokea lakini tusubiri hilo ni kazi la tume pia nawapongeza wananchi wa hapa kwa kushikamana, maendeleo hayana chama.
Nina mke wangu nae nilimuoa Misungwi, mke wa Kitwanga hebu njoo hapa bwana.
MAMA JANETH MAGUFULI: Tunamuombea kura Rais, wabunge, madiwani, mtawachagua? Basi tunawashukuru sana asanteni.
MAGUFULI: Jamani nawapenda, nitakuja siku moja tufanye mkutano hapa.
Mzee ni kama nafsi take haiko poa. Anaweza kufa ghafla kwa msongo wa maumivu moyoniLaana ya Uonevu inamtafuna, na tutasikia mengi sana yasiyoeleweka kutoka kinywa chake
So, hata kwenye hilo la kuropoka maneno yanayopishana bado nyinyi mashabiki wake mnaona yuko sahihi ? sio kwamba mnamsaidia kwa kumsifia hata anapoyakoroga bali mnamharibu, Nchi yetu imejengeka kwa kuwa na viongozi wenye staha katika kusema, sio huyo wa sasainategemea wewe unamuonaje,pengine wewe ndo hauko sawa.
mweye staha ni nani Lisu au mtei?So, hata kwenye hilo la kuropoka maneno yanayopishana bado nyinyi mashabiki wake mnaona yuko sahihi ? sio kwamba mnamsaidia kwa kumsifia hata anapoyakoroga bali mnamharibu, Nchi yetu imejengeka kwa kuwa na viongozi wenye staha katika kusema, sio huyo wa sasa
Mzee choka mbaya....Ubishi tu,vinginevyo angeachia ngaziNimebaki mimi tu kwa sababu hamnipendi, hamjanipitisha bila kupingwa, wangapi mtanipitisha bila Kupingwa? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Mzee amepanic huyu,, hakika 28th October tunamwelekeza Kibra asubuhi na mapema!Nimebaki mimi tu kwa sababu hamnipendi, hamjanipitisha bila kupingwa, wangapi mtanipitisha bila Kupingwa? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Anayelazimisha wananchi wasitumie demokrasia yao kuchagua viongozi wawapendao ni nani?Tunataka mgombea urais anaehubiri amani Kama Dr John Pombe Magufuli hawa wengine wanaohubiri fujo na chuki hakika kura zetu hawatapata tutawaelekeza watoto wetu mama zetu na baba zetu hakuna kuchagua hao wahuni
Mzee wa utopolo katika viwango vyake.Dkt. Magufuli asubuhi hii amefanya mkutano wa kampeni katika jimbo la Misungwi jijini Mwanza na kuwataka Watanzania tupendane.
Dkt. Magufuli amewasihi wananchi kutobaguana kwa misingi ya chama cha siasa, dini au kabila kwa mustakabali mwema wa taifa letu.
Kadhalika Dkt. Magufuli amewataka wanamisungwi kuchagua Rais, mbunge na diwani kutoka CCM ili waendeleze maendeleo yaliyo katika ilani ya uchaguzi.
Source: Channel Ten
Maendeleo hayana vyama!
==============
Rais Magufuli leo Jumanne anaendelea na kampeni za kuwania Urais na kuwanadi Wabunge na Madiwani wa chama anachokiongoza. Amepita Misungwi jimbo lilikuwa linaongozwa na waziri wa zamani wa mambo ya ndani, Charles Kitwanga ambalo kwa sasa CCM ilimpitisha ndugu Mnyeti, Hii ni sehemu ya hotuba yake fupi.
DKT MAGUFULI: Ninachowaambia mimi niko nyumbani, ninawashukuru sana watu wa Misungwi mmepitisha mbunge bila kupingwa, mmepitisha madiwani bila kupingwa, hongereni sana. Nimebaki mimi tu kwa sababu hamnipendi, hamjanipitisha bila kupingwa, wangapi mtanipitisha bila Kupingwa? Asanteni sana.
Nataka nieleze ukweli, mlikuwa na mbunge hapa, Kitwanga alikuwa ananisumbua sana baadhi ya miradi. Ni lazima tujue historia ilikotoka, mahali tulipo na tunapoenda na Mnyeti atakuwa Mbunge.
Katika mipango ambayo imefanyika hapa ni mingi, hata hili barabara halikuwepo, katika kipindi cha miaka mitano tulilifanya na alienisumbua ni Kitwanga, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Nataka niyazungumze haya, bahati nzuri katika kazi zetu huwa sio za maisha. Palikuwa na Nyerere akamaliza muda wake, akaja Mwinyi akamaliza miaka yake kumi, akaja Mkapa akamaliza miaka yake kumi, akaja Kikwete miaka yake kumi na mimi mkitipisha hapa imebaki miaka mitano tu watakuja na wengine.
Hapa tuna mradi mkubwa wa maji ambao utagharimu bilioni 12 utakaonufaisha watu zaidi ya sitini na nne elfu.
Tumeanza vizuri, naomba mtuamini, naomba muendelee kuiamini CCM na hasa mnaona kazi nyingine ambayo inafanyika hapo Kigongo-Busisi, tunatengeneza daraja ambalo halijawahi kuonekana Tanzania na Afrika mashariki, daraja la kilomita 3.2.
Sasa msiache mkanichagua, yakaja mengine yakafuta haya mamiradi kwa sababu gharama ya daraja hili ni bilioni 699, bilioni 700 tunaziweka hapa. Ninachowaomba ndugu zangu wa Usagara na Misungwi endeleeni kushikamana, muwe wamoja. Haya mambo ya siasa yaliyokuwa yanawatenganisha myaache na bahati nzuri ndoa ya Mnyeti, alieiandaa ni Kitwanga.
MNYETI: Mheshimiwa Rais ni kweli kama ulivyosema, ndoa yangu aliiandaa mzee Kitwanga, namheshimu sana, nampenda sana siku zote.
MAGUFULI: Nampongeza Mnyeti kwa kushinda, nawapongeza waheshimiwa madiwani. Ninafahamu kuna appeal zitatokea tokea lakini tusubiri hilo ni kazi la tume pia nawapongeza wananchi wa hapa kwa kushikamana, maendeleo hayana chama.
Nina mke wangu nae nilimuoa Misungwi, mke wa Kitwanga hebu njoo hapa bwana.
MAMA JANETH MAGUFULI: Tunamuombea kura Rais, wabunge, madiwani, mtawachagua? Basi tunawashukuru sana asanteni.
MAGUFULI: Jamani nawapenda, nitakuja siku moja tufanye mkutano hapa.
Dish limeyumba na hataki kumeza vidonge vyakeHivi mheshimiwa yupo sawa kweli?
Maneno ya mlevi na kichaaNimebaki mimi tu kwa sababu hamnipendi, hamjanipitisha bila kupingwa, wangapi mtanipitisha bila Kupingwa? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Replica, Magufuli anajua pa kuanzia kampeni zake mfano katika miradi mikubwa aliyotekeleza na maendeleo kwa ujumla Sasa sijui wenzetu huwa wanaanzia wapi manake hawana reference.
Nina uhakika usiku wa kuamkia leo, huko Mwanza walifanya kikao cha faragha cha kumkanya aache kauli zake za "sagala sagala"
Kuna vitu sivielewi.Dkt. Magufuli asubuhi hii amefanya mkutano wa kampeni katika jimbo la Misungwi jijini Mwanza na kuwataka Watanzania tupendane.
Dkt. Magufuli amewasihi wananchi kutobaguana kwa misingi ya chama cha siasa, dini au kabila kwa mustakabali mwema wa taifa letu...
So, hata kwenye hilo la kuropoka maneno yanayopishana bado nyinyi mashabiki wake mnaona yuko sahihi ? sio kwamba mnamsaidia kwa kumsifia hata anapoyakoroga bali mnamharibu, Nchi yetu imejengeka kwa kuwa na viongozi wenye staha katika kusema, sio huyo wa sasa
Kwa hiyo tuipigie kura Chadema ambayo imeshindwa hata kujenga ofisi ya makao makuu ya chama licha ya kupata ruzuku ya zaidi ya bilioni tatu kila mwaka? wewe ndiyo akili yako haiko timamu.Hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu atawapigia kura CCM