Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli anatakiwa ajue kuwa Kampeni ni kujishusha, sio kufokea na kuwatisha wapiga kura

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli anatakiwa ajue kuwa Kampeni ni kujishusha, sio kufokea na kuwatisha wapiga kura

sudani imechafuka sababu ya ulafi wa madaraka.kama unaona wanapa raha kuliko uliyonayo sasa hivi utapelekwa sudan wewe peke yako kama wale wa uamsho nk.

msitake kuivuruga nchi kwa tamaa zenu za fisi.
Endeleeni kuleta ujinga,mmesahau ya kibiti na mkuranga!Lile lilipaswa kuwa funzo tosha kuwa haki huzaa amani!

Ile ni ishara kuwa watu wakikata tamaa na kuona hawawezi kupata haki kwa njia moja basi wanaweza kuitafuta kwa njia nyingine!
Shwain!
 
Sasa kama anawafokea wapiga kura kitendo ambacho kwa maoni yako kitapelekea asichaguliwe, huoni kuwa ndiyo safi kwako na mgombea wako? Kwanini umpe ushauri ambao kwako ni faida akiendelea na mifoko?
 
Nenda kawailize kama uliwatuma,ujinga una gharama zake za kulipa tena bora wangepotezwa kwa njia nzuri.

Anayetafuta haki kwa upanga huwa anaishie kuipoteza hata kidogo aliyodhani haitoshi.
 
nenda kawailize kama uliwatuma,ujinga una gharama zake za kulipa tena bora wangepotezwa kwa njia nzuri.

anayetafuta haki kwa upanga huwa anaishie kuipoteza hata kidogo aliyodhani haitoshi.
Nenda kamuulize Gaddafi huko aliko yaliyomkuta!Alijiamini zaidi ya weww na hao unaowaabudu kama Mungu wako wa pili!Alitesa na kuua raia na vitisho juu,lakini watu walipochoka ndio hapo hata maadui wakaweza kutumia mwanya huo kuwapenyezea silaha walioasi!

Hilo ni funzo, kama Gaddafi amgekuwa anawatendea haki raia wake basi wasingekubali kutumika!

Hapa nchini zikianza choko choko,kuna watu wakipenyezewa silaha basi wanaweza kuwa tayari kuasi!

Tunayasema haya ili mjifunze na msijeifikisha nchi kubaya!Mnaodanganyana huko mliko mnaona mzaha tu!Hata mbuyu ulianza kama mchicha!

Pandikozeni chuki na matokeo ya chuki hizo mtaziona siku moja!
 
lazima uelezwe kwa lugha nyeupe.kwamba ukijichanganya utakula ulioopeleka mboga.

wale walizomea bukoba watampa kura rais wao wanayempenda,akipita wameula,asipopita wamelamba joker,kama kubeti yaani.
Uongozi hauko hivyo labda mtawala, ukichukulia hivyo utaumiza hata asiohusika, hata kama hawampendi unafikiri Bukoba yote hawatampigia Magufuli?
 
MAENDELEO ni kodi zetu

Hazikusanywi kwa kadi za vyama vyetu

Tusipewe kwa rangi zetu

Kuchaguliwa/kuchagua ni haki yetu

Kodi ni pesa ya watanzania wote

Wasipochagua chama chako usiwachukie

Wasipokupenda, wakikukosoa, usiwakasirikie

Wanalipa kodi, wapewe maendeleo, magufuli usiwafokee
 
Mnaotishika na ufokeaji ni chadema na magenge yenu, tulieni sindano iwaingie, Watu wema hawana mashaka na hiyo sauti.

Sauti ya Simba haimtishi mwanae bali vi wanyama dokozi ndo vina anza kukimbia.
Kwa hiyo yeye hataki kura za wasio wanaCCM.
 
Sasa kama anawafokea wapiga kura kitendo ambacho kwa maoni yako kitapelekea asichaguliwe, huoni kuwa ndiyo safi kwako na mgombea wako? Kwanini umpe ushauri ambao kwako ni faida akiendelea na mifoko?
Mimi ni mshauri wa wote.
 
Back
Top Bottom