Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Usimuamshe aliyelala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamanda uchwara utajibaraguza tu.Soma mada yangu uelewe, lini Lissu alifokea wapiga kura.
Endeleeni kuleta ujinga,mmesahau ya kibiti na mkuranga!Lile lilipaswa kuwa funzo tosha kuwa haki huzaa amani!sudani imechafuka sababu ya ulafi wa madaraka.kama unaona wanapa raha kuliko uliyonayo sasa hivi utapelekwa sudan wewe peke yako kama wale wa uamsho nk.
msitake kuivuruga nchi kwa tamaa zenu za fisi.
Njoo nikutie upepo mkuu, pump ninayo ya hajamnapenda sana kutiana upepo[emoji2][emoji2]
Endeleeni kuleta ujinga,mmesahau ya kibiti na mkuranga!Lile lilipaswa kuwa funzo tosha kuwa haki huzaa amani!
Ile ni ishara kuwa watu wakikata tamaa na kuona hawawezi kupata haki kwa njia moja basi wanaweza kuitafuta kwa njia nyingine!
Shwain!
Njoo nikutie upepo mkuu, pump ninayo ya haja
Njoo nikupasue mkuu, wala usipate tabulabda unipunguzie maana umejaa tayar.na utapasuka soon
Nenda kamuulize Gaddafi huko aliko yaliyomkuta!Alijiamini zaidi ya weww na hao unaowaabudu kama Mungu wako wa pili!Alitesa na kuua raia na vitisho juu,lakini watu walipochoka ndio hapo hata maadui wakaweza kutumia mwanya huo kuwapenyezea silaha walioasi!nenda kawailize kama uliwatuma,ujinga una gharama zake za kulipa tena bora wangepotezwa kwa njia nzuri.
anayetafuta haki kwa upanga huwa anaishie kuipoteza hata kidogo aliyodhani haitoshi.
Uongozi hauko hivyo labda mtawala, ukichukulia hivyo utaumiza hata asiohusika, hata kama hawampendi unafikiri Bukoba yote hawatampigia Magufuli?lazima uelezwe kwa lugha nyeupe.kwamba ukijichanganya utakula ulioopeleka mboga.
wale walizomea bukoba watampa kura rais wao wanayempenda,akipita wameula,asipopita wamelamba joker,kama kubeti yaani.
Ananihusu kwa sababu kwa sasa ndiye anayechukua kodi yangu.Wewe si mpenzi wa Tundu Lissu? JPM anakuhusu nini?
Sasa hajui akipitishwa na dola badala ya wananchi atakuwa amepoteza uhalali wa kuongoza?Labda anafikiri atapita kwa nguvu ya dola yeye na Bashiru wamekuwa wakitumia vitisho zaidi
Kwa matamshi tata kama ya niwe maana ya "maendeleo hayana vyama" ni nini?Msamehe bure dish limeyumba,yani chanel zimepotea zimebaki za kula,kuvaa,kufokea,ubabe zile za maana hakuna
Kwa hiyo yeye hataki kura za wasio wanaCCM.Mnaotishika na ufokeaji ni chadema na magenge yenu, tulieni sindano iwaingie, Watu wema hawana mashaka na hiyo sauti.
Sauti ya Simba haimtishi mwanae bali vi wanyama dokozi ndo vina anza kukimbia.
Mimi ni mshauri wa wote.Sasa kama anawafokea wapiga kura kitendo ambacho kwa maoni yako kitapelekea asichaguliwe, huoni kuwa ndiyo safi kwako na mgombea wako? Kwanini umpe ushauri ambao kwako ni faida akiendelea na mifoko?
Hakuna kitu kibaya kama kuongoza watu wasiokukubali rejea historia ya aliyekuwa rais wa Zanzibar marehemu Idrisa Abdul wakilSasa hajui akipitishwa na dola badala ya wananchi atakuwa amepoteza uhalali wa kuongoza?