Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli apangua hoja ya kujenga Uwanja wa Ndege wa Chato kwa ustadi mkubwa

 
Sio hivyo,,kipindi cha jk wapinzani walimlaumu sana kwa kufa kwa shirika la ndege,,jpm akaona hili tatizo aliondoe,ndiposa akaamua kulifufua shirika la ndege

..Na wakati huo ccm ilikuwa inapinga ununuzi wa ndege.

..na wananchi waliwachagua ccm kwasababu waliona ndege siyo hitaji lao.

..sasa kwanini ccm walienda kununua madubwasha[midege] ambayo wananchi walishaonyesha kwamba hawana haja nayo?

..ukiona serikali inanua kitu ambacho wananchi hawana haja nacho ujue hapo kuna UPIGAJI.
 
ukipata majibu nitag nikuje faster
 
Nani kakwambia lissu katumwa na wazungu,hayo mashirika ulotaja yanapata ruzuku toka serikalini.ni mzigo kuyaendesha.
 
Hoja kama hizi zinawaondolea heshima makamanda wenzangu. Kipindi hiki cha Corona unategemea Atcl wapate faida?
Atcl kwa nini isikaguliwe na CAG wakati ni shirika la umma? Tunajiabisha tuwe makini kujibu hoja
Mnasema Tanzania haina Corona, lakini mnasema inaathiri ndege zenu, si mzirushe humuhumu ambamo hamna Corona na wateja ni wengi hadi Chato ndege ikienda inajaza abiria?
 
Good point
 
Ccm haikuwa inapinga ununuaji ndege,,sema pengine haikuwa priority...then wapinzani wimbo wa kufa ATCL ndo ukawa wimbo,,
Hii pia sio ishu,,,pale shirika litakapochemsha ndo itakuwa ishu ya kujadili
 
Sasa unataka rais akitaka kutua kwao anatua vipi?,uwanja wa ndege ni muundo mbinu tu,wala nchi haitafiriska eti sababu ya huo uwanja,,mbona viwanja vipo vingi tu,
Huu uwanja sio big ishu kivile..
So raisi Ni muhimu kuliko wananchi,thus kuendelea Ni ndoto, wenzetu Wana maendeleo sababu rais Ni mtumishi wa wananchi na sio mungu mtu.

Kama unadhibiti upotevu wa mapato kwa kuzuia mianya then unazidump fedha pasipotija Kuna tofauti gani na upotevu wa mapato.
 
Ccm haikuwa inapinga ununuaji ndege,,sema pengine haikuwa priority...then wapinzani wimbo wa kufa ATCL ndo ukawa wimbo,,
Hii pia sio ishu,,,pale shirika litakapochemsha ndo itakuwa ishu ya kujadili
Hata likichemsha upinzani ndo watatupiwa lawama
 
Kimsingi wanaccm tu hawataki kusikia hii takataka ya Magufuli..... Ndio maana ya hii sombasomba
 
Sio hivyo,,kipindi cha jk wapinzani walimlaumu sana kwa kufa kwa shirika la ndege,,jpm akaona hili tatizo aliondoe,ndiposa akaamua kulifufua shirika la ndege
Yaani una invest $500mil kama mtaji kwny biashara then ndipo unaanza kutengeneza business Plan sio?

Maamuzi ya 'busara' sana haya.
 
Hata akistaafu hakuna tofauti ya kwenda nao kaburin
 
Sijaona hoja yoyote aliyopanua hapo by the way
 
Lissu hana hadhi ya kufanya mdahalo na Mh, Rais wetu, Lissu mnamkuza mitandaoni, Hana hadhi, ropo ropo atapata wapi hadhi ya kupewa mdahalo na Mh. Rais wetu, Midahalo afanye Mitandaoni.
 
Majibu rahisi kwa maswali magumu. Anyway he tried.

Wala haja jaribu Mkuu ,tuna fahamu Mtu anapo fariki haondoki na chochote lakini atujibu tu Maatokeo (Faida) ya kujenga Uwanja wa kisasa porini pasipokuwa na Mahitaji wala Biashara ni ipi !!?

Asitufokee na asikasirike ,tunayo haki ya kumhoji Sababu Pesa yote iliyo fanikisha hayo imetoka Mifukoni mwa wavuja jasho wa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…