Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli apangua hoja ya kujenga Uwanja wa Ndege wa Chato kwa ustadi mkubwa

KWANI KUNASHIDA GANI KUJENGA UWANJA CHATO?
KWANI CHATO SIO TANZANIA?
KWANI UWANJA WA NDEGE CHATO SI UWANJA WAWATANZANIA WOTE?
KWANI UWANJA WA CHATO NI MALI YA MAGUFULU NA FAMILIA YAKEEE??
Nyerere angejenga uwanja Butiama,Mwinyi akajenga kijijini kwao huko Zanzibar,Mkapa akajenga huko kusini kijijini kwao,Kikwete akajenga huko kijijini kwao Msoga na marais wajao wakajenga viwanja vya ndege vijijini kwao walikozaliwa,baada ya miaka kadhaa nchi hii ingekuwa na viwanja vingi vya kimataifa vijijini kuliko mijini!😁😁😁😁😁😁!
Kwa hili Magufuli hana cha kujitetea,anafanya umobutu seseko!
 

..Hapana.

..hatuhitaji a national carrier. we were doing fine without it.

..kuna mambo mengi yanayoongeza national pride, kuliko hata shirika la ndege.

..tunaweza kuwa na national pride kwa kuzalisha the best cotton in africa if not the world.

..mimi ningeona fahari zaidi kwenda ulaya na kununua shuka limeandikwa " made from Tanzanian cotton." kuliko sasa hivi ambapo wanaandika "made from egyptian cotton." naamini hiyo ni fahari zaidi kuliko kumiliki midege inayotengenezwa na makampuni ya mabeberu.
 
Sio hivyo,,kipindi cha jk wapinzani walimlaumu sana kwa kufa kwa shirika la ndege,,jpm akaona hili tatizo aliondoe,ndiposa akaamua kulifufua shirika la ndege

Wapinzani hao hao walitaka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, mbona hayo hatekelezi au hayana 10%?
 
Biashara ya ndege wangeachia makampuni ya kibiashara na wanahisa wengine, serikali ingemiliki baadhi ya hisa ili iendelee kutumia nembo, twiga.
 
Hebu weka hapa ni wilaya gani nyingine ina uwanja kama wa Chato,tuorodheshee hapa!
Ikumbukwe ni majuzi tu hapa Chato imeoandishwa hadhi kuwa wilaya!
 

Why do you generalize that we do not need a national carrier? I think we need it. What is supposed to be done is to cut down losses, and make people accountable.

Kwenye uzalishaji wa mazao na uongezaji thamani, Sokoine's ideas, if they were upheld, we would be leading in the area in the region. By now we would be so advanced on terms of technology and appropriate capabilities.
Ina maana baada ya hii mess up ya privatisation, tunahitaji muda tena wa kuweka kurudi kwenye mstari
 
Hoja kwamba uwanja umejengwa bila kufuata sheria ya manunuzi ina usiasa gani?
Hoja kwamba MAGUFULI alimuita mtengeneza ndege wakakaa chumbani huku amekalia sheria ya manunuzi makalion ina usiasa gani? Sheria zimewekwa ili kudhibiti matendo ya binadam wenye hulka kama MAGUFULI.kwann mnaamini kwamba huwezi kuchukua 10% ya hiyo midubwasha/ mindege?
Kama uwanja umejengwa kimkakati kwann usijengwe Bukoba au mara ambayo ni karibu na mwanza?
Ameshindwa kujibu hoja anawatuma mje mbwabwaje tu hapa unadhani mpo kariakoo sokoni.jibu hoja acha kuweka miswada
Hoja ni kwanini chato? Kwanini sheria ya manunuzi ya umma haijafuatwa?
 
KWAHIYO NA UBUNGO INTERCHANGE MBONA IKO DAR, KWAHYO UNAITAKA IJENGWE NA MAFINGA TENA?
MBONA MAFINGA KUNA KITUO CHA MAFUNZO YA JESHI, NAWAKATI KILOLO KWETU HATUNA?
MBONA TERMINAL3 IMEJENGWA DAR NA WAKATI MAFINGA HAIPO, UMELALAMIKA?

KAMA UNANONGWA NA UWANJA WACHATO KWANI UMEZUILIWA KWENDA KUISHI CHATO ILI NA WEWE UNUFAIKE NA HUO UWANJA?
MBONA MAFINGA MNABARABARA NZULI NA WAKATI MKOA WAKIGOMA HAWANA?
MBONA WAHA HAWAJALALAMIKA??

HOVYO KABISA NYIE
 
Jomba umeshawahi lipa kodi forodhani kwa namna yoyote ile..Au nawwwe ni kibaka kama wale vibaka wengine jomba...maana sio ni hapa uchungu wewe unautolea wapi...kwanza hata ndege zimekujajekujaje hujui..hiyo hasara hasara umejuaje. ..shwaiannnnmm

Ukimpa mtoto jina au ukiamua kuchagua jina linarithisha.

Sasa naona kabisa, ulichoandika ni kama vile uko babeli, dishi limeyumba.



Jielekeze kwenye hoja maana KIDUMU
 
Mfumo Mkuu ndio Shida Nchi hii ,wakiondoka hawa wenye Mawazo ya kidikteta Sheria kandamizi na zisizo kuwa na Faida zikiondolewa moja kwa moja tunakuwa tumeufuta huu Mfumo mmbovu unao toa mwanya kwa Mtu mmoja kuharibu Maisha ya wengine.
Thus watawala wa kiafrica wanawachukia mabeberu wanachukia demokrasia sababu inawabana kuwafanyia ufedhuli waafrika
 
Ccm haikuwa inapinga ununuaji ndege,,sema pengine haikuwa priority...then wapinzani wimbo wa kufa ATCL ndo ukawa wimbo,,
Hii pia sio ishu,,,pale shirika litakapochemsha ndo itakuwa ishu ya kujadili

Lichemshe mara 2?
 
1.Uwanja wa ndege
2.Bandari
3.Hospitali ya rufaa ya kuhudumia Kanda

Jamani kunani chato?Hivi Magufuli angekuwa anatokea Shinyanga,hivyo vyote vingeenda Chato?Ni kwamba ni coincedence tu kuwa mipango ya maendeleo mikubwa kama hiyo inaangukia Chato na yeye kuwa Rais ambaye kwao ni Chato?
Niambie tu toka moyoni kwako,hii ni coincedence?
 
Vyote vimejengwa huko kwa sababu la uhitaji wa huko.Je Wana Chato ambao wanaomudu kupanda ndege hata watano awafiki je uwanja Ni muhimu kuliko schemes za umwagiliaji,vyuo vya ufundi na maendeleo, maghala ya mazao, viwanda vya mifugo,uvuvi na mazao ya kilimo?
Thus akupitisha bungeni kuogopa kupingwa,
 
Mwanzo hatukuwa na hizo Ndege na Watalii wlaikuja ,sidhani na sioni upenyo wa kuikubali hoja yako kuwa tutakapo kuwa na Ndege nyingi tutakuwa tume ongeza idadi ya Watalii how ?
Mtalii uenda popote hata pasipo na ndege,kabla ya ndege watalii walikuja kwa wengi tofauti na awamu hii Kama imekosa kibali na baraka toka kwa Mungu
 
Unajaribu kulinganisha welevu na ujinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…