Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Nyerere angejenga uwanja Butiama,Mwinyi akajenga kijijini kwao huko Zanzibar,Mkapa akajenga huko kusini kijijini kwao,Kikwete akajenga huko kijijini kwao Msoga na marais wajao wakajenga viwanja vya ndege vijijini kwao walikozaliwa,baada ya miaka kadhaa nchi hii ingekuwa na viwanja vingi vya kimataifa vijijini kuliko mijini!😁😁😁😁😁😁!KWANI KUNASHIDA GANI KUJENGA UWANJA CHATO?
KWANI CHATO SIO TANZANIA?
KWANI UWANJA WA NDEGE CHATO SI UWANJA WAWATANZANIA WOTE?
KWANI UWANJA WA CHATO NI MALI YA MAGUFULU NA FAMILIA YAKEEE??
Kwa hili Magufuli hana cha kujitetea,anafanya umobutu seseko!