Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli ataka Watanzania kukataa ubaguzi


..amewanyima maji wananchi wa Tunduma kwasababu jimbo linaongozwa na halmashauri na mbunge[mwakajoka] wa Cdm.

..sasa hivi Silinde anagombea jimbo la Tunduma dhidi ya Mwakajoka wa Cdm ndiyo maana Magufuli anawatishia kuwa ataendelea kuwanyima maji kama hawatamchagua Silinde.
 
Yeye mwenyewe ndio bonge lambagzi kwelikweli
 
..Ni mbaguzi.

..aliwabomolea nyumba zao wakazi wa majimbo yaliyochagua wabunge wa upinzani.

..kule walikochagua wabunge wa ccm akasema wasibomolewe kwasababu ni wapigakura wake.
Tuletee speecha yake mjomba.
Alafu nikwambie tu watu waliobomolewa nyumba zao wameshaanza kulipwa.
Haya ongea sasa maana mnaropoka tu bila kufanya tafiti na kufuatilia mambo wajomba.
 
Rais aliyesema atawapa upendeleo wanawake weupe yeye ndiye mbaguzi.

Rais anayesema chagueni wabunge wa chama chake la sivyo haleti maendeleo kwenye jimbo, yeye ndiye mbaguzi.
 
Akae namaji yake kwani mpaka leo wanamtegemea yeye nawenyewe wamnyime kura nahivi apiti ndokabisa
 
Kwanza bunda ja Kilwa hakuna huduma za kijamii au hakuna shule huko mjomba au hospitali zilizojengwa hahahah.
Acha uchawi wewe toka kama huna hoja njoo na fact hapa mjomba


..wananchi wa Kilwa wananunua maji madumu shilingi 1000 kupelekea wagonjwa wao waliolazwa hospitali.

..msikilize mbunge wa Kilwa Mh.Bungara akiwasilisha kilio chake kuhusu tatizo la maji bungeni.


.
 
..kuna mwanasiasa mbaguzi na mwenye chuki nchi hii kumzidi Jiwe? Jiwe aliwaambia wapiga kura wakichagua chama tofauti na ccm hatawapelekea miradi ya maendeleo. Huo ni ubaguzi, na ni siasa za chuki.
Huyo mimi nampa cheo cha Mbaguzi-in-Chief. Ubaguzi aliouleta hapa nchini ingekuwa nchi zingine Bunge lilitakiwa kumpigia kura ya kutokuwa na imani naye na kumuondoa madarakani. Hata hivyo yawezekana ubaguzi ni mojawapo katika sera za CCM maanake kila anapowabagua Watanzania anapigiwa makofi na vigelegele na wana CCM.

Si hivyo tu hata humu naona wapo wana CCM wanaotetea ujinga huo wa hatari kwa umoja wetu kama taifa. Ukishachaguliwa Rais, wewe ni Rias wa wote na ndiyo sababu unaapa kuiheshimu, kuitetea na kuitii Katiba ambayo inatamka wazi wazi kwamba ubaguzi ni mwiko. Magufuli hafai kuongoza hii nchi na tarehe 28/10/2020 lazima ang'olewe.
 
Ntajie sekta ambayo imechangia ukuaji wa uchumi hapa nchini???
 
Je hilo swala lipo chini ya nani??
Kazi ya Mbunge katika jimbo ni nini mjomba??
Je mfuko wa jimbo kazi yake ni nini??
 
Acha upopoma!Hukusikia Tunduma aliposema wasipomchagua Silinde hata maji ambayo serikali imeshakamilisha mpango basi hatapeleka!Hukusikia Bunda alisema hakujenga barabara kwasababj walichagua mpinzani hivyo wakichagua tena mbunge wa upinzani barabara hiyo hatapeleka na atapeleka kwa watakaochagua CCM!
Acheni kutetea ujinga!
 
Je hilo swala lipo chini ya nani??
Kazi ya Mbunge katika jimbo ni nini mjomba??
Je mfuko wa jimbo kazi yake ni nini??

..maswali kama haya inabidi ujifunze na kujiongeza mwenyewe kabla ya kuja kujadiliana na watu wazima hapa JF.

..unauliza mfuko wa jimbo, unajua kiasi gani kwa mwaka kiko allocated kwenye mfuko wa jimbo? Unajua gharama ya kupeleka mradi wa maji ktk jimbo?
 
Wewe ni juha na mwendawazimu uliyekubali kupokwa akili zako na hilo genge lenu la misukule!
Jiwe akae kando kwa ustawi wa nchi yetu!Tumemchoka na hatumtaki!
 
Hivi aliyetufikisha kwenye ukanda, ukabila chuki za waziwazi, udini, utesaji, n.k ni nani? Tujitafakari sana. Tanzania Ile ya amani, upendo, kutojali kabila, haki, amani, FURAHA, uhuru ilipotelea wapi? Sisi wenye umri mkubwa tunaumia mno maana tunajiona tuko nchi nyingine.
 

Kaokoka au kaslimu lini huyu? Keshafuta kauli zake za kuwa hapeleki maendeleo kulikochaguliwa wapinzani?

Wanawake weusi nao je atawasikiliza?
 
Chadema wanasiasa za kishamba sana, walianza uchaga na ukanda, sasa wanaleta udini kwa kushirikiana na sultan seif na zito
Kila mkutano wa kampeni viongozi wa dini wapo na wengine wameombea vyama kura. Tuanze na Mufti na Shekhe wa DSM. Moshi leo kulikuwa na Mkuu wa KKKT na wengine. Balance discussions zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…